Blood 0.

Blood 0.

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Doctor's napenda kujua faida au uzuri wa kuwa na blood 0. Ni hayo tu
 
unagawa damu kwa kila mtu mwenye kundi tofauti lakini unapokea kutoka mtu mwenye kundi O tuu
 
Subject hii ni pana sana kwa kifupi kuna magroup 4 katika ABO system. Nayo ni A, B, AB na O. Vile vile kuna Rh ambayo either unakuwa Rh + au Rh - Watu wenye Rh - ni wachache about 5% ya population. Mtu aliye na group O Rh- ndiye anaitwa universal donor.
 
unaambukizwa
Ila inasemekana kwamba eti group O inaweza kupambana na magonjwa zaidi ni kweli? vipi kuhusu hisi RH+ NA - Ni nini adhari zake kwenye kuongezewa au kutoa damu,kwenye kupambana na magonjwa,na kwenye kuzaa mtoto na mtu mwenye damu ya tofauti?
 
mimi nina O Rh+
pia hili la maambukizi ya ukimwi kwenye group O
nina maswali nalo sana.
 
Back
Top Bottom