Blood group AB

Blood group AB

Hizo ni Myth my dear hakuna kitu kama hicho, na kuna wengine walisema O ni Carrier wa hivyo virus yaan wao wanaambukiza lakini hawapati dalili wala magonjwa, sio kweli....

Halafu nyie wa group O mnasumbuliwa sana na maradhi ya Ngozi na Ulcers mna Acid nyingi na hamshauriwi kutumia vyakula vyenye uchachu.
Sasa mbona me napenda vichachu? Nasikia raha nikila limao 😒
 
Ninachokipenda kwa group AB ni kwamba unapokea damu kutoka kwa group lolote ila kuchangia unawachangia AB wenzako tu. Unyama sana [emoji847][emoji847]
 
Mtoa uzi muongo,mbona mimi ni AB lakini hesabu form four niilipata C
 
Mtoa uzi muongo,mbona mimi ni AB lakini hesabu form four niilipata C
Kwani tukisema watu fulani wana maendeleo sana kwani tunamaanisha wote?

Kma umesoma na unajua maana ya research basi hutopata tabu
 
Back
Top Bottom