Blood group O + and -

Ni kweli kwa watanzania tulio wengi gharama ni tatizo, sehemu nyingi zenye huduma hii wanatoa kwa laki moja na nusu hadi laki 2
Aisee nilijua miliona kadhaa kumbe hata laki tano haifik?
 
Aisee nilijua miliona kadhaa kumbe hata laki tano haifik?
Siunajua kuna njaa ndugu, fikiria kwa yule mlala hoi kule. Ndoa nyingi zinavunjika kwaajili ya hili tatizo na sababu kubwa ni kutokuwa na uelewa na pia gharama kwani madaktari wengi hawasiti kukwambia kuwa tatizo hili linatibika kwa gharama sana. Ingawa habari njema ni kuwa ukiwa na bima ni free of charge.
 
Kama mwanaume ana O- afu mkewe ana O+ pia Kuna hiyo shida?
 
Na je ni lazima kwa Kila mimba utakayobeba ni lazma kuchoma Ant D injection maana mi uzaz wa kwanza nlichoma na nkibeba ya pl pia n lazma kuchoma
 
Hili tatizo ni kwa kundi la O-na O+ tu, au na kwa makundi mengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…