baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,480
- 2,239
Aisee nilijua miliona kadhaa kumbe hata laki tano haifik?Ni kweli kwa watanzania tulio wengi gharama ni tatizo, sehemu nyingi zenye huduma hii wanatoa kwa laki moja na nusu hadi laki 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee nilijua miliona kadhaa kumbe hata laki tano haifik?Ni kweli kwa watanzania tulio wengi gharama ni tatizo, sehemu nyingi zenye huduma hii wanatoa kwa laki moja na nusu hadi laki 2
Siunajua kuna njaa ndugu, fikiria kwa yule mlala hoi kule. Ndoa nyingi zinavunjika kwaajili ya hili tatizo na sababu kubwa ni kutokuwa na uelewa na pia gharama kwani madaktari wengi hawasiti kukwambia kuwa tatizo hili linatibika kwa gharama sana. Ingawa habari njema ni kuwa ukiwa na bima ni free of charge.Aisee nilijua miliona kadhaa kumbe hata laki tano haifik?
Hakuna shida,mtoto atakua O+ kama mama yakeKama mwanaume ana O- afu mkewe ana O+ pia Kuna hiyo shida?
Hili ni kweli. Limetokea kwangu.Hakuna shida,mtoto atakua O+ kama mama yake