blood group rh. -ve

holyindemosh

Member
Joined
Feb 9, 2010
Posts
5
Reaction score
0
Namtafuta mchumba (mwanamke) Awe msomi cha msingi zaidi Blood Group Yake iwe aina yeyote lakini Rhesus Negative (rh-ve). Age 22-28years old. Please serious lady with these qualities just mail me at johnsonm20.will@gmail.com for more information.
 
yaani unataka awe Rh negative au positive?
 
Namtafuta mchumba (mwanamke) Awe msomi cha msingi zaidi Blood Group Yake iwe aina yeyote lakini Rhesus Negative (rh-ve). Age 22-28years old. Please serious lady with these qualities just mail me at johnsonm20.will@gmail.com for more information.
Tulimwambia Invisible aandae jukwaa la watu wa hivi, lakini bado anasuasua!
Ona sasa watu wanavyohangaika!
Broda usiogope, kaa mkao wa majibu, watakuja wengi tu sasa hivi.
Kuwa mvumilivu!
 
kwa nini lazima awe na Rhesus negative?

maana mie nna negative, ila sikujua kama ni kigezo cha kutafutia mume!
 
What is Rhesus Negative (rh-ve) mrusha thread??? kabla sijatupa maombi????
 
JS japo kai google kidogo
maana hapo somo la biolojia form 2 litabidi lirudiwe upya
 
What is Rhesus Negative (rh-ve) mrusha thread??? kabla sijatupa maombi????

Nenda blood bank watakuambia; mmh haya mambo siku hizi mpaka bloodgroup! Kweli ni hii teke linalotuijia!
 
maskini jeuri: huyo mwenzetu nahisi ana wasi wasi wakati wa kupata mtoto:
huwa inaleta complications kwa mama akiwa Rhesus positive na mtoto akiwa negative. ....inaweza kusababisha watoto wanaozaliwa baadae kufa kama haitajuulikana mapema

sasa wasi wasi wangu mtoa mada kajijua ana negative yeye, anataka lazima na mke awe na negative ili isije kuwa complications kwa watoto

my advice: kama umeweza kujua athari ya kuwa na rhesus tofauti baina ya mke na mume, nna uhakika utakuwa na jua kuhusu shindano anayotakiwa kupigwa mama akiwa ana Rhesus tofauti na wewe ( na mtoto tumboni).....so usijali sana, oa yoote tu
 

Kakobe anaombea hili tatizo kuna couple ilishuhudia kwenye runinga
 

Yet another another suprising but very informative information. Haya mimi wala sikuwa nayajua. Nimekugongea SENKSI.
 
Nakubaliana na Gaijin. Rhesus negative wako asilia kama tatu tu katika jamii ya Tanzania. Hivyo asilimia 97 ni Rhesus positive. Hii inaonyesha jinsi ilivyo vigumu kupata. Kuhusu hii dawa ambayo atadundwa mama mjamzito mwenye Rhesus negative, upatikanaji wake sio mgumu sana alimradi mama amehudhuria Clinic nzuri na kupimwa damu ili kutambua blood group yake. Hivyo ukimpata sawa lakini ukimkosa endelea tu na Rhesus positive,
 
Kwa mnaotaka kujua faida na hasara za Rhesus -ve



Chanzo: BellyBelly.com
 
Masaki. ......
mtoa mada hana haja ya kuwa na wasi wasi sana kwa sababu hizo shindano za AntiD zinapatikana hata Tanzania sasa.
zamani wakati dada yangu alipopata mtoto wake wa kwanza ( yeye pia ni Rhesus negative), alilazimika aagizie special dawa kutoka pharmacy from south africa, iwekwe kwenye baridi mpaka alipojifungua! it was really worrying for her.
lakini sasa dawa hizo bongo zimejaa, na japo kuwa ni gharama usiyoitegemea, but i guess ni better kuliko kutafuta mke negative kabisa
 
hehehe nkamangi nilikuwa sijajua kakobe kama kaombea hiyo Rhesus au kaombea tatizo la mtu mwengine kuzaa watoto fully formed kisha wakawa wanakufa!
 

Hapo kwenye bold umedanganya. Mama akiwa Rh negative ndiyo tatizo. Namshangaa huyo jamaa anayetaka mke mwenye Rh negative, labda hapendi kuzaa!

Na kama huyu bwana ndiye mwenye Rh negative, wala hahitaji kutafuta mke mwenye group hiyo. Na amini usiamini, nimeyasoma hayo sasa hivi tu hapa kwenye google, sasa huyu bwana shida yake nini? Haeleweki!
 
Hajui anachokitaka huyu
kwanza unashida ya demu, then unaanza na masharti ya daktari..........imekula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…