blood group rh. -ve

blood group rh. -ve

Mtu B......niwie radhi, mama anaweza asipate tatizo katika kuzaa, lakini mtoto akiwa negative, na damu yake ikichanganyika na ya mama yake wakati wa kuzaliwa, basi ndo ata develop hizo anti-bodies.
Lakini labda mtoa mada anataka mtu wa uhakika wa kumpatia damu akiumwa 😀
kwa sababu Tanzania watu wenye negative ni wachache (hasa kama unaishi kwenye miji midogo au kijijini), na huwezi kuingizwa damu ya mtu mwenye positive.
sasa hapa jamaa labda anaweka life insurance 😀
 
huyu anazingatia mambo ya uzazi kwani kunawengine group zikitofautiana amzai niliwai kuona hiyo jamaa alikaa na demu kwa miaka 7 awakuzaa kabisa na dr wanasema wotw awanamatatizo jamaa akaruka ukuta akazaa nje mapacha wife nae wakatengana alikoenda akazaa mfulilizo kila mwaka kwa miaka 5
 
Back
Top Bottom