Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
Mtu B......niwie radhi, mama anaweza asipate tatizo katika kuzaa, lakini mtoto akiwa negative, na damu yake ikichanganyika na ya mama yake wakati wa kuzaliwa, basi ndo ata develop hizo anti-bodies.
Lakini labda mtoa mada anataka mtu wa uhakika wa kumpatia damu akiumwa 😀
kwa sababu Tanzania watu wenye negative ni wachache (hasa kama unaishi kwenye miji midogo au kijijini), na huwezi kuingizwa damu ya mtu mwenye positive.
sasa hapa jamaa labda anaweka life insurance 😀