charles matthew
Member
- Jun 29, 2015
- 19
- 2
Group gani la damu ni salama kati ya group A-.
Group A+.Group AB+..Group AB-B+ B- and 0
Group A+.Group AB+..Group AB-B+ B- and 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nadhani group o-ve, ndio linalosumbua sana, kuliko mengine, na ni la watu wachache sana, duniani.Magroup yote ya dam Ni mazuri sema tu kuna hawa watu wenye rhesus factor negative au -ve huwa Ni wachache hivo ikitokea MTU kaishiwa damu wa group hilo huwa inasumbua kidogo hasa group AB -ve.
mi nadhani group o-ve, ndio linalosumbua sana, kuliko mengine, na ni la watu wachache sana, duniani.
Mkuu kwani ni group gani ambayo ni Universal DONORS, hawapatwi magonjwa kirahisi nk?
universal donor ni group O.
universal recipient ni group AB,iwe -au +.
suala ya magonjwa si hoja sana maana siku hizi magonjwa hatarishi ni yale yasiyohusiana na blood groups kwa mfano aina mbalimbali za kansa.
unapozungumzia malaria,wengi tumezoea hii inayosababishwa na Plasmodium, lakini tujue kwamba kuna aina nyingi za malaria na zinasababishwa na vijidudu tofauti ila wasambazaji ni hawa mbu, hivyo issue ya malaria in general wala haitegemei blood groups.
Magroup yote ya dam Ni mazuri sema tu kuna hawa watu wenye rhesus factor negative au -ve huwa Ni wachache hivo ikitokea MTU kaishiwa damu wa group hilo huwa inasumbua kidogo hasa group AB -ve.
labda nitoe summary ndogo tu juu ya ABO system& rhesus blood group syste.
hizi ni system muhimu za damu ambazo zmechukua karbu 90% ya population ya dunia japo kuna aina zingine za damu kama vile lewis,p kell, lewis,lutheran,duffy and I.
nikianza na group 0 hili limegawanyika kwenye rhesus +ve& -ve.. hawa wanauwezo waku gawia ma group yote damu hii nikwasababu group hili la damu halina fuctional enzymes hivyo basi wanakuwa hawana antigen A&B hivyo basi unapo fanya blood transfusion kwenye group A,B or AB kunakuwa amna any transfusion reaction ambayo maranyingi huwa inasababishwa na invivo antbody&antgen reaction inside of the body.
kwakuwa 0-ve anakuwa ana rhesus factor hii inamfanya yy aweze wagawia magroup yote damu ila yy huweza fanyiwa donor na group 0-ve mwenzio na syo 0+ve kwakuwa anakuwa na rhesus...nkirudi juu ya swala la kupata magonjwa kama malaria group la damu alina uhusiano kwani group la damu linausiana na antgen ambazo ni protein na malaria ni invided ya plasmodium kwenye cell nyekundu za damu kama retculocytes(immature rbcs) na pia inashbulia cell zilizo komaa pia..ivyo amna uhosiano kati yaku ugua na group la damu...kwa apa tanzania watu wenye group 0 ni aslimia 47%..!!
AB hawa awana antibody na ndip maana wanakuwa ni wapokeaj wa damu kutoka kwenye group lolote...kasoro mwenye -ve huyu uweza pokea kwa negative only..!!!
summary ya blood group la mzazi na posable ya watoto.
0&0=O
O&A=O orA
0&B=0 or B
O&AB=B or0.
A&A= A or O
A&B=O,A,B or AB.
Mke wng alipojifungua mtoto alichomwa sindano aliambiwa damu aziendani kwahiyo itamsaidia mtoto wakati wa kunyonya asipate madhara?naomba nifafanulie hiyo sindano aliyochomwa mtoto na uhusiano kati ya damu ya mama na mtoto kwa nini iwe tofauti ?
labda nitoe summary ndogo tu juu ya ABO system& rhesus blood group syste.
hizi ni system muhimu za damu ambazo zmechukua karbu 90% ya population ya dunia japo kuna aina zingine za damu kama vile lewis,p kell, lewis,lutheran,duffy and I
summary ya blood group la mzazi na posable ya watoto.
0&0=O
O&A=O orA
0&B=0 or B
O&AB=B or0.
A&A= A or O
A&B=O,A,B or AB.
Thanks 4 the info,ila mkuu kwenye nyekundu umeniacha njia panda! Inakuwaje tena A&A probability ya kupata mtoto mwenye group A au O ni 50%!! Group O inahibuka kutoka wapi tena? Ingekuwa ni mambo ya genes niliyo jifunza A-Level tungesema vitu dominat vinatoaje tena a blood group ambayo haipo kwa Mama wala Baba, same applies to blood group A&B generating yet again group O from nowhere! Please clarify.
mi nadhani group o-ve, ndio linalosumbua sana, kuliko mengine, na ni la watu wachache sana, duniani.
kuna ugonjwa tuna uita HAEMOLITIC DISEASE OF A NEW BORN hii inatokea pale mtoto anapo kuwa ana rhesus -ve na mama anayo +ve kwa kawaida mwili unapo unapo tambua foreign substance ambyo itakuwa na madhara basi unatengeneza antbody kwajili yaku pambana na kitu hicho kigeni basi mwili unatengeneza antglobulini itwayo IgG hii ni ndogo kiasi kwamba ina uwezo waku cross placenta barrier..ivyo basi mama akisha jfungua mtoto yule mwili unatengeneza kinga madhubuti ili kuzuia kosa lile lisijitokeze tena....hii ndiyo sababu utaona wanawake wengi baada yaku jfungua mtoto wa kwanza mimba zote mbeleni atakazo pokea zinatoka kwasabau ya antbody zlizo tengenezwa na mwili wake baada ya ile mimba ya kwanza.
nirudi kwenye swal lako mkeo alichomwa sindano yaku lower hizo immunity ili zisije leta madhara kwa mimba zingine zinazo fuata....NOTE: ukichelewa chonwa hyo sndano maisha yako yatakuwa ya kutoka mimba.....nafkiri nmejaribu lijibu mkuu.