Blood Group

Blood Group

Kwa kuwa wewe inaelekea ni mtaalam wa haya mambo ya damu, nina maswali ambayo yamenisumbua kwa muda mrefu sana.

(a) Kwanini nature (au evolution) imeunda hizi aina tofauti za damu? What is the functional or evolutionary purpose of blood groups?

(b) Kwanini sote tusingekuwa na aina (group) moja ya damu?

(c) Je, wanyama nao wana magroup ya damu kama sisi binadamu?

Maswali mazuri mkuu,nina hamu nisikie majibu humu kwa wadau hasa kipengele a
 
kuna ugonjwa tuna uita HAEMOLITIC DISEASE OF A NEW BORN hii inatokea pale mtoto anapo kuwa ana rhesus -ve na mama anayo +ve kwa kawaida mwili unapo unapo tambua foreign substance ambyo itakuwa na madhara basi unatengeneza antbody kwajili yaku pambana na kitu hicho kigeni basi mwili unatengeneza antglobulini itwayo IgG hii ni ndogo kiasi kwamba ina uwezo waku cross placenta barrier..ivyo basi mama akisha jfungua mtoto yule mwili unatengeneza kinga madhubuti ili kuzuia kosa lile lisijitokeze tena....hii ndiyo sababu utaona wanawake wengi baada yaku jfungua mtoto wa kwanza mimba zote mbeleni atakazo pokea zinatoka kwasabau ya antbody zlizo tengenezwa na mwili wake baada ya ile mimba ya kwanza.

nirudi kwenye swal lako mkeo alichomwa sindano yaku lower hizo immunity ili zisije leta madhara kwa mimba zingine zinazo fuata....NOTE: ukichelewa chonwa hyo sndano maisha yako yatakuwa ya kutoka mimba.....nafkiri nmejaribu lijibu mkuu.

asante mkuu kwa elimu
ila nijuze na hapa vp huyo mama angekua amejifungua nyumban au hospital isiyona vipimo vya kueleweka ni madhara gan angeyapata huyo mtoto au angepatwa na ugonjwa gan..?
 
Mkuu definition, Mimi nina group 0 -ve na mchumba angu 0 +ve hapo nasikia ni hatari tupu uwezakano wa kupata mtoto ni mdogo,nakama mimba ikitungwa mtoto atafariki muda mfupi wa kuzaliwa.
 
mtoto wa 1 asingepata madhara yyte ki kawaida wanao fuatia ndo watakuwa na madhara tena ukizingatia atakuwa amesha cheleweshwa kuchomwa sindano ya kushusha immunity hzo zilizo zalishwa baada ya mimba ya kwanza...ila ni jambo la muhimu wazazi wote wa 2 kujua ma group yao ya damu...najua kwa wanawake hii nilazma upimwe ukiwa RCH ila kwa wanaume ndo inakuwa tatizo.
 
Mkuu definition, Mimi nina group 0 -ve na mchumba angu 0 +ve hapo nasikia ni hatari tupu uwezakano wa kupata mtoto ni mdogo,nakama mimba ikitungwa mtoto atafariki muda mfupi wa kuzaliwa.

siyo kwel mtoto unapata...na chance ya kutokea Haemolitic disease of the newborn ni 50% itategemea na mtoto ata rithi either +ve or -ve..na pia mtoto atazaliwa salama.
 
Kwa kuwa wewe inaelekea ni mtaalam wa haya mambo ya damu, nina maswali ambayo yamenisumbua kwa muda mrefu sana.

(a) Kwanini nature (au evolution) imeunda hizi aina tofauti za damu? What is the functional or evolutionary purpose of blood groups?

(b) Kwanini sote tusingekuwa na aina (group) moja ya damu?

(c) Je, wanyama nao wana magroup ya damu kama sisi binadamu?

a/.Genetic variation ni muhimu kwa viumbe,inasaidia kututofautisha pia kuitawala dunia yetu...maana hii dunia ipo tofauti,mfano climate na viumbe wanaotuzunguka.

b/.Jibu sina

c/.Wanyama wanayo magroup ya damu.....mfano hizo Rhesus zimegunduliwa kwa nyani.
 
kuna ugonjwa tuna uita HAEMOLITIC DISEASE OF A NEW BORN hii inatokea pale mtoto anapo kuwa ana rhesus -ve na mama anayo +ve kwa kawaida mwili unapo unapo tambua foreign substance ambyo itakuwa na madhara basi unatengeneza antbody kwajili yaku pambana na kitu hicho kigeni basi mwili unatengeneza antglobulini itwayo IgG hii ni ndogo kiasi kwamba ina uwezo waku cross placenta barrier..ivyo basi mama akisha jfungua mtoto yule mwili unatengeneza kinga madhubuti ili kuzuia kosa lile lisijitokeze tena....hii ndiyo sababu utaona wanawake wengi baada yaku jfungua mtoto wa kwanza mimba zote mbeleni atakazo pokea zinatoka kwasabau ya antbody zlizo tengenezwa na mwili wake baada ya ile mimba ya kwanza.

nirudi kwenye swal lako mkeo alichomwa sindano yaku lower hizo immunity ili zisije leta madhara kwa mimba zingine zinazo fuata....NOTE: ukichelewa chonwa hyo sndano maisha yako yatakuwa ya kutoka mimba.....nafkiri nmejaribu lijibu mkuu.

Correction kidogo:Tatizo hutokea endapo mama ni rhesus -ve na mtoto anaezaliwa akiwa rhesus +ve.
 
naongezea kidogo.
Ikitokea hivyo ma damu ya mama isipogusana na ya mtoto basi hakuna tatizo. Ila damu zao zikigusana ndio tatizo litatatokea.
Damu ya mama na mtoti kugusana ni jambo la bahati mbaya(sio kawaida).
ila kwa vile kinga ni bora kuliko tiba ndio maana ikigundulika tu mtoto aliyeko tumboni ni rh+ na mama ni rh- ndio hatua za kumnusuru hufanyika.
 
a/.Genetic variation ni muhimu kwa viumbe,inasaidia kututofautisha pia kuitawala dunia yetu...maana hii dunia ipo tofauti,mfano climate na viumbe wanaotuzunguka.

b/.Jibu sina

c/.Wanyama wanayo magroup ya damu.....mfano hizo Rhesus zimegunduliwa kwa nyani.

Asante kwa jibu lako lakini sijaridhika. Sisi binadamu wote tuna maumbile sawasawa:

pua moja
mikono miwili
kichwa kimoja
nk.

Palipo na tofauti kuna sababu zake. Kwa mfano waafrika ni weusi kwa sababu pigmentation ya ngozi inatusaidia kujikinga na mionzi ya jua.

Sasa blood groups zina advantages au disadvantages gani wakati tulipokuwa tuna-evolve?

Humu kwenye mada hii watu waliandika kuwa wenye damu aina ya AB ni wachache sana kuliko wenye aina ya O. Kuna sababu yoyote evolution-wise iliyoleta matokeo haya.

Samahani kwa usumbufu.
 
Bila usumbufu,theory ya evolution kwamba the fittest wata'survive ktk eneo husika nadhani inaingia ktk variation ya blood groups ktk eneo husika....Wanasema blood group huwa ina uhusiano na hali ya kiafya ya given individuals....eg.stomach ulcers,memory loss,cancers na mengine....kwahiyo influence ya mazingira ina'play a role ktk kutofautiana kwa blood groups baina ya populations ...mfano kwa mazingira ya Mwanza basi labda group O ndio itasababisha wawezs ku'survive vizuri.....au labda waKikuyu huko group A ndo itawapa sababu ya ku'survive ktk eneo lao...etc etc..

Interindividual differences za blood groups ktk given population bila shaka inasababishwa na MATING..so kuingiliana kwa watu kutasababisha hata pale ambapo blood group flani ili'dominate mwanzoni,isi'dominate tena..
 
naongezea kidogo.
Ikitokea hivyo ma damu ya mama isipogusana na ya mtoto basi hakuna tatizo. Ila damu zao zikigusana ndio tatizo litatatokea.
Damu ya mama na mtoti kugusana ni jambo la bahati mbaya(sio kawaida).
ila kwa vile kinga ni bora kuliko tiba ndio maana ikigundulika tu mtoto aliyeko tumboni ni rh+ na mama ni rh- ndio hatua za kumnusuru hufanyika.

Kwa kuongezea vizuri zaidi....mimba ya kwanza huwa haina tatizo,so hata damu zikigusana pia sio tatizo kwa huyo mtoto wa kwanza kuzaliwa......
Kwa ilivyo mzazi yeyote wa kike ambaye ni Rh -ve inabidi afanyiwe immunological tests ili kujua kama anazo antibodies anti rhesus,sababu hata kama hazikutengenezwa kutokana na contact ya damu baina yake na mtoto wa mwanzo rhesus +ve,hizi antibodies zaweza kutengenezwa kutokana na defects katika immunity system(auto antibodies anti rhesus).
 
Bila usumbufu,theory ya evolution kwamba the fittest wata'survive ktk eneo husika nadhani inaingia ktk variation ya blood groups ktk eneo husika....Wanasema blood group huwa ina uhusiano na hali ya kiafya ya given individuals....eg.stomach ulcers,memory loss,cancers na mengine....kwahiyo influence ya mazingira ina'play a role ktk kutofautiana kwa blood groups baina ya populations ...mfano kwa mazingira ya Mwanza basi labda group O ndio itasababisha wawezs ku'survive vizuri.....au labda waKikuyu huko group A ndo itawapa sababu ya ku'survive ktk eneo lao...etc etc..

Interindividual differences za blood groups ktk given population bila shaka inasababishwa na MATING..so kuingiliana kwa watu kutasababisha hata pale ambapo blood group flani ili'dominate mwanzoni,isi'dominate tena..

Asante kiongozi.
 
hii nikutokana na "offspring cannot posses antigen A or B alone" A itabaki kuwa dominant na 0 inakuwa kama resessive( genes do not provide the phenotype and are silent genes but will be passed to an offsprings) ivyo basi ndio sababu wanapo mate wazaizi wenye AA result inakuwa ni 0 or A niki maanisha wanakuwa heterozygous AO&A0 .

Now u're talking, thanks a lot! Mkuu kwa nini wasiwe homozygous dominant, carrying two copies of the same dominant allele??? Just a joke husijibu
 
dr ni kwanini mtu akipewa damu ambayo syo compatible anapata hypersentivity shock na kufa..yani kuna mechanism gani behind......!!?

gari ya diesel ukaiweke petrol?! ...........
 
Back
Top Bottom