Blood Group

Magroup yote ya dam Ni mazuri sema tu kuna hawa watu wenye rhesus factor negative au -ve huwa Ni wachache hivo ikitokea MTU kaishiwa damu wa group hilo huwa inasumbua kidogo hasa group AB -ve.
 
Magroup yote ya dam Ni mazuri sema tu kuna hawa watu wenye rhesus factor negative au -ve huwa Ni wachache hivo ikitokea MTU kaishiwa damu wa group hilo huwa inasumbua kidogo hasa group AB -ve.
mi nadhani group o-ve, ndio linalosumbua sana, kuliko mengine, na ni la watu wachache sana, duniani.
 
Mi nina O+ lakin nashukuru Mungu huu mwaka 6 siijui maralia wala nn nikoniko tu
 
Mimi pia nina group O positive,nanimwaka wakumi na mbili sasa sijaugua maralia,hiyo group O positive ndio inakuwaje jamanai,hembu tuelimisheni jamani mnaojuawa.
 
Mkuu kwani ni group gani ambayo ni Universal DONORS, hawapatwi magonjwa kirahisi nk?

universal donor ni group O.
universal recipient ni group AB,iwe -au +.

suala ya magonjwa si hoja sana maana siku hizi magonjwa hatarishi ni yale yasiyohusiana na blood groups kwa mfano aina mbalimbali za kansa.

unapozungumzia malaria,wengi tumezoea hii inayosababishwa na Plasmodium, lakini tujue kwamba kuna aina nyingi za malaria na zinasababishwa na vijidudu tofauti ila wasambazaji ni hawa mbu, hivyo issue ya malaria in general wala haitegemei blood groups.
 

na kwaku kazia unvrsal donor ni 0-ve..ivyo kusema only group 0 haitoshi maana mwenye group 0+ve anawagawia only wote walio na rhesus +ve ila hawezi wagawia rhesus -ve bali kwa 0-ve only..!! na pia ukirudi kwenye AB group nao ivyo ivyo....!!
 
labda nitoe summary ndogo tu juu ya ABO system& rhesus blood group syste.

hizi ni system muhimu za damu ambazo zmechukua karbu 90% ya population ya dunia japo kuna aina zingine za damu kama vile lewis,p kell, lewis,lutheran,duffy and I.

nikianza na group 0 hili limegawanyika kwenye rhesus +ve& -ve.. hawa wanauwezo waku gawia ma group yote damu hii nikwasababu group hili la damu halina fuctional enzymes hivyo basi wanakuwa hawana antigen A&B hivyo basi unapo fanya blood transfusion kwenye group A,B or AB kunakuwa amna any transfusion reaction ambayo maranyingi huwa inasababishwa na invivo antbody&antgen reaction inside of the body.

kwakuwa 0-ve anakuwa ana rhesus factor hii inamfanya yy aweze wagawia magroup yote damu ila yy huweza fanyiwa donor na group 0-ve mwenzio na syo 0+ve kwakuwa anakuwa na rhesus...nkirudi juu ya swala la kupata magonjwa kama malaria group la damu alina uhusiano kwani group la damu linausiana na antgen ambazo ni protein na malaria ni invided ya plasmodium kwenye cell nyekundu za damu kama retculocytes(immature rbcs) na pia inashbulia cell zilizo komaa pia..ivyo amna uhosiano kati yaku ugua na group la damu...kwa apa tanzania watu wenye group 0 ni aslimia 47%..!!

AB hawa awana antibody na ndip maana wanakuwa ni wapokeaj wa damu kutoka kwenye group lolote...kasoro mwenye -ve huyu uweza pokea kwa negative only..!!!

summary ya blood group la mzazi na posable ya watoto.

0&0=O
O&A=O orA
0&B=0 or B
O&AB=B or0.
A&A= A or O
A&B=O,A,B or AB.
 
Hizi blood group zina uhusiano gani hasa wakati wa ujauzito, na maendeleo ya watoto kwa ujumla?
 
Magroup yote ya dam Ni mazuri sema tu kuna hawa watu wenye rhesus factor negative au -ve huwa Ni wachache hivo ikitokea MTU kaishiwa damu wa group hilo huwa inasumbua kidogo hasa group AB -ve.

Kwa kuwa wewe inaelekea ni mtaalam wa haya mambo ya damu, nina maswali ambayo yamenisumbua kwa muda mrefu sana.

(a) Kwanini nature (au evolution) imeunda hizi aina tofauti za damu? What is the functional or evolutionary purpose of blood groups?

(b) Kwanini sote tusingekuwa na aina (group) moja ya damu?

(c) Je, wanyama nao wana magroup ya damu kama sisi binadamu?
 

Mke wng alipojifungua mtoto alichomwa sindano aliambiwa damu aziendani kwahiyo itamsaidia mtoto wakati wa kunyonya asipate madhara?naomba nifafanulie hiyo sindano aliyochomwa mtoto na uhusiano kati ya damu ya mama na mtoto kwa nini iwe tofauti ?
 
Mke wng alipojifungua mtoto alichomwa sindano aliambiwa damu aziendani kwahiyo itamsaidia mtoto wakati wa kunyonya asipate madhara?naomba nifafanulie hiyo sindano aliyochomwa mtoto na uhusiano kati ya damu ya mama na mtoto kwa nini iwe tofauti ?

kuna ugonjwa tuna uita HAEMOLITIC DISEASE OF A NEW BORN hii inatokea pale mtoto anapo kuwa ana rhesus -ve na mama anayo +ve kwa kawaida mwili unapo unapo tambua foreign substance ambyo itakuwa na madhara basi unatengeneza antbody kwajili yaku pambana na kitu hicho kigeni basi mwili unatengeneza antglobulini itwayo IgG hii ni ndogo kiasi kwamba ina uwezo waku cross placenta barrier..ivyo basi mama akisha jfungua mtoto yule mwili unatengeneza kinga madhubuti ili kuzuia kosa lile lisijitokeze tena....hii ndiyo sababu utaona wanawake wengi baada yaku jfungua mtoto wa kwanza mimba zote mbeleni atakazo pokea zinatoka kwasabau ya antbody zlizo tengenezwa na mwili wake baada ya ile mimba ya kwanza.

nirudi kwenye swal lako mkeo alichomwa sindano yaku lower hizo immunity ili zisije leta madhara kwa mimba zingine zinazo fuata....NOTE: ukichelewa chonwa hyo sndano maisha yako yatakuwa ya kutoka mimba.....nafkiri nmejaribu lijibu mkuu.
 

Thanks 4 the info,ila mkuu kwenye nyekundu umeniacha njia panda! Inakuwaje tena A&A probability ya kupata mtoto mwenye group A au O ni 50%!! Group O inahibuka kutoka wapi tena? Ingekuwa ni mambo ya genes niliyo jifunza A-Level tungesema vitu dominat vinatoaje tena a blood group ambayo haipo kwa Mama wala Baba, same applies to blood group A&B generating yet again group O from nowhere! Please clarify.
 

hii nikutokana na "offspring cannot posses antigen A or B alone" A itabaki kuwa dominant na 0 inakuwa kama resessive( genes do not provide the phenotype and are silent genes but will be passed to an offsprings) ivyo basi ndio sababu wanapo mate wazaizi wenye AA result inakuwa ni 0 or A niki maanisha wanakuwa heterozygous AO&A0 .
 
Kuna hii dhana kwamba wenye B- ni ngumu kumpa mwanamke mimba, hii ikoje?
 
mi nadhani group o-ve, ndio linalosumbua sana, kuliko mengine, na ni la watu wachache sana, duniani.

Sio kweli AB-VE huwa Ni wachache zaidi , hata positive ab huwa Ni wachache kuliko magroup yote . O-ve Ni wengi kidogo kuliko rh -ve wote
 

Asante sana nimekuelewa mkuu alichomwa hiyo sindano kcmc hospital baada ya kujifungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…