Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

Ni kweli uliyoyasema.
 
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. mimi ni mwanamke nimeolewa miaka mitano iliyopita na tuna mtoto mmoja na huyu mume wangu tatizo hasa lakuomba ushauri kwenu ni mume haamini kama huyu mtoto ni wake because tulipima blood group na mtoto ana group o positive, ambapo mimi na mwanangu tupo group moja yaan hiyo o. na babake ana group AB .

Sasa babaake anasema mtoto si wake haiwezekani mtoto awe group 0 nawakati yeye ni group AB nakosa amani mwenzenu naomba ushauri wenu.ni kweli lazima mtoto afuate group blood kwa baba?
 
Inawezekana huyo baba naye yumo jf! Wataalamu wa hayo mambo watakuja kukuelimisha, kasheshe litaibuka iwapo jibu likawa kinyume na mategemeo yako!
 
Kitaalamu Hilo linawezekana kabisa. watu8 unahitajika pande hizi.....
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana huyo baba naye yumo jf! Wataalamu wa hayo mambo watakuja kukuelimisha, kasheshe litaibuka iwapo jibu likawa kinyume na mategemeo yako!

sikatai inawezekana majibu yakawa tofauti lkin yote ni majibu ntayapokea mkuu
 
nakosa amani mwenzenu naomba ushauri wenu.ni kweli lazima mtoto afuate group blood kwa baba?

Si lazima mtoto afuate blood group ya mzazi wa kiume, anaweza kurithi ya upande wowote.

Ingawaje hii kesi yako inaweza ikaleta taharuki subiri kidogo nitakuwekea hapa namna mtoto anavyorithi makundi ya damu
 
Huyo mumeo aacha magirini yake, kama hakwenda shule umaamuma wake asiulete hadi ndoani.

Si lazima mtoto afuate blood group ya mzazi wa kiume, anaweza kurithi ya upande wowote.

asante nimekuelewa
 
jamaa Vipi huyo? group ya damu mbona sio tatizo labda aseme lingine ....
 
Si lazima mtoto afuate blood group ya mzazi wa kiume, anaweza kurithi ya upande wowote.

Ingawaje hii kesi yako inaweza ikaleta taharuki subiri kidogo nitakuwekea hapa namna mtoto anavyorithi makundi ya damu

ntashukuru mkuu
 
Hyo mbegu yake. Ni maswala madogo 2 ya kibaiolojia ambayo hayaitaj hata chet cha form 6
 
Huyo jamaa nae anaishi dunia gani?

Tangu lini kundi la damu likaonesha kama mtoto ni wake ama la?

Nendeni mkacheki DNA bana

Halafu chanzo cha yote hayo ni nini??
 
Kabla ya kukupa majibu una uhakika wa hizo Blood Group ulizotutajia? kwamba wewe ni O na mumeo ni AB?

mie ni blood group 0 na yeye mume wangu ni AB kwa hiyo na uhakika na tumepima blood group zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…