Aisee this very interesting observations!! Nimevutiwa na jinsi huyo jamaa alivyohangaika kutafuta ukweli wa suala hilo, jambo ambalo wengi wetu hatupendi kuhangaika. Kama members wengi humu JF tungekuwa tunahangaika kiasi hiki na kuja na habari zenye utafiti wa kina nakuhakikishia hii forum ingetisha!!! Kitu kingine ambacho nina uhakika nacho ni kwamba pamoja na uzi huu kuwa na taarifa hii hautapata wachangiaji wengi.
Ni kweli uliyoyasema.