Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

1391585_228134817352663_738505097_n.jpg
 
Ndo maana kumbe ni hili group O+ ndo linanisababishia.
Jamani O wenzangu hapo juu tujitahidi na kuchangia damu, ili tuthibishe kabisa kuwa we are born to help
 
mie group langu halieleweki.
Kila nikipima napata majibu tofauti(AB+, A+, O+ na O-)
 
MziziMkavu, this is obviously a medical or scientific joke sio mkuu?
Maana it is hardly an observation let alone a research.
Nafikiri ni vizuri uwaambie wadau kuwa that info is not credible si unajua unaaminika sana anga hizi mheshimiwa.
 
almaalim wangu MziziMkavu msaada wako tafadhali sijui ni mdudu wa porini ananiadhiri huku. . . .yani toka juzi nimekamatwa kazi hazifanyiki ni maumivu upande wa kulia wa kibofu, na korodani ya kulia imepanda juu kidogo lakini ckuwah kuumwa hii kitu ndo mara ya kwanza. Walinambia nichemshe mwa40, cjui nitafune mizz gan lakin wapi. . .msaada wako tafadhali
n.b- mm ni mwanachama hai wa chawaputa....no jokes.
 
Pole sana jaribu kupata punje ndogo kama ya mtama shubiri isage kisha uchanganye na maji nusu glasi unywe atakuacha huyo mdudu wa porini (Ngiri) kwa muda huku unajianda kwenda kumtoa hospitalini pole sana achana na Chama chenu cha chapuwata..............

aloe-vera-laxative-gum-resin.jpg

Shubiri Aloe Vera gum.
 
MziziMkavu, this is obviously a medical or scientific joke sio mkuu?
Maana it is hardly an observation let alone a research.
Nafikiri ni vizuri uwaambie wadau kuwa that info is not credible si unajua unaaminika sana anga hizi mheshimiwa.
Mkuu mimi nikiweka kitu chochote hapa kwenye hili Jukwaa la JF.Doctor huwa siweki kitu cha Joke ondosha wasiwasi kabisa hii sio joke ni kweli kabisa ukiamini au usiamini hilo silo suala langu.
 
Pole sana jaribu kupata punje ndogo kama ya mtama shubiri isage kisha uchanganye na maji nusu glasi unywe atakuacha huyo mdudu wa porini (Ngiri) kwa muda huku unajianda kwenda kumtoa hospitalini pole sana achana na Chama chenu cha chapuwata..............

aloe-vera-laxative-gum-resin.jpg

Shubiri Aloe Vera gum.

shukran mkuu
 
Back
Top Bottom