Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,134
Aisee!!, kuna ukweli. Mimi ni O+, na kwa kweli nimesaidia watu sana mpaka gumzo, lakini mimi naona kawaida na fahari kwangu. Ila sasa, nina hasira sana / hasira zangu zipo karibu.
O+ tuko wengi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!, kuna ukweli. Mimi ni O+, na kwa kweli nimesaidia watu sana mpaka gumzo, lakini mimi naona kawaida na fahari kwangu. Ila sasa, nina hasira sana / hasira zangu zipo karibu.
Mkuu mimi nikiweka kitu chochote hapa kwenye hili Jukwaa la JF.Doctor huwa siweki kitu cha Joke ondosha wasiwasi kabisa hii sio joke ni kweli kabisa ukiamini au usiamini hilo silo suala langu.
Aisee!!, kuna
ukweli. Mimi ni O+, na kwa kweli nimesaidia watu sana mpaka gumzo,
lakini mimi naona kawaida na fahari kwangu. Ila sasa, nina hasira sana /
hasira zangu zipo karibu.
Haunishindi mm mkuu, yaani kamshahara kangu mara nyingi kanapitiliza tuu, na wala sijisikii vibaya hiyo study naikubali 100%
Wengine hawajijuwi Ma Group zao.mbona wachangiaji ni o+ tu?? kwenye hii thread!
O- mkuu
O+ tuko wengi!
Ndio nini kunigeza?Kumbe hii O+ ndo inanitia umaskini. dah!!!
Umetisha mkuu maana hakuna wanaokubali eti wao ni 0-..
Ukiwa negative maana yake nyingine huna Ukimwi..waache wang'ang'anie hiyo positive.
....Just a joke...