Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

Aisee samahani lkn! Kwa elimu yangu ndogo nahisi huyo mtoto si wa mumeo! Group AB ni dominant na wewe ni group OO ni recessive! Sasa nategemea watoto wenu wote wataangukia kwenye group A na B tu. Duh, ngoja wataalam zaidi waje hapa!!
naomba niende kwenye mada moja kwa moja. mimi ni mwanamke nimeolewa miaka mitano iliyopita na tuna mtoto mmoja na huyu mume wangu tatizo hasa lakuomba ushauri kwenu ni mume haamini kama huyu mtoto ni wake coz tulipima blood group na mtoto ana group o positive, ambapo mimi na mwanangu tupo group moja yaan hiyo o. na babake ana group AB . sasa babaake anasema mtoto c wake haiwezekani mtoto awe group 0 nawakati yeye ni group AB nakosa amani mwenzenu naomba ushauri wenu.ni kweli lazima mtoto afuate group blood kwa baba?
 
Dada nashindwa namna ya kuandika nilikuwa najaribu kutafuta picha itakayofikisha kwa urahisi ujumbe.

Ukiiangalia hii picha hapa chini utaona kuwa mzazi mmoja akiwa na Kundi O (OO) na mwingine mwenye kundi AB, watoto watakaotokana na wazazi hao watakuwa na ama Kundi A au B na si vinginevyo.

Nashindwa kupata picha yenye kuonesha Tree Diagram ya namna ya kuzicross hizo alleles ili kupata matokeo ya makundi hayo A na B.

Inheritance-of-blood-groups_medium.jpg
 
mie ni blood group 0 na yeye mume wangu ni AB kwa hiyo na uhakika na tumepima blood group zetu

Ushauri wangu mi nawaomba mpime tena makundi yenu ya damu, yaani ninyi wazazi na mtoto.

Halafu mnaweza pia kufanya vipimo vya DNA pia ili kuwa na uhakika zaidi na kuondoa mkanganyiko wowote.

Kipimo kimoja cha damu pekee hakiwezi uwa suluhisho, wakati mwingine wale jamaa wa maabara hospitali huwa wanakosea.

Kuna case kama yako lakini ilikuwa ni kwa mama mjamzito alienda kupima damu katika hospitali kubwa tu hapa Dar ya binafsi akaambiwa ana aina fulani ya damu ikiwa na Rh -ve, lakini hakupata imani akarudia katika hospitali mbili tofauti na akapatwa na aina ile ile ya damu lakini ikiwa na Rh +ve.
 
Duh..! Hali tete hii, kwa biology yangu ya genetics crossing ya kidato cha nne enzi za mwalimu inaniambia kuwa hili swala haliwezekani kutokea. May be advenced level biology ina ufafanuzi wa hili suala.

Maana kama ilikuwa ni swali la mtihani enzi zile, kutokana na blood group zenu, possible outcome ilikuwa iwe either of these blood group.

AO ama BO.

Hii yako ni hali tete kwa tulio wengi, hata ningekuwa mimi kwa kweli ningedoubt hiko kitu.
 
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. mimi ni mwanamke nimeolewa miaka mitano iliyopita na tuna mtoto mmoja na huyu mume wangu tatizo hasa lakuomba ushauri kwenu ni mume haamini kama huyu mtoto ni wake because tulipima blood group na mtoto ana group o positive, ambapo mimi na mwanangu tupo group moja yaan hiyo o. na babake ana group AB .

Sasa babaake anasema mtoto si wake haiwezekani mtoto awe group 0 nawakati yeye ni group AB nakosa amani mwenzenu naomba ushauri wenu.ni kweli lazima mtoto afuate group blood kwa baba?

Angalia hii link hapa chini
Blood Type Child Parental Calculator -- EndMemo

Kama kweli wewe ni group O+ na mumeo ni group AB, basi mtoto wenu ana asilimia 50 ya kuwa group A na asilimia 50 ya kuwa group B. Kamwe hawezi kuwa group AB au O

Ndio maana anasema mtoto si wa kwake. Lakini nakushauri mwende kwenye DNA maana blood group siyo ufumbuzi wa mwisho. Mke au Mume anaweza kuchepuka na mtu mwenye blood group inayofanana na group ya mwenzake!
 
Dada nashindwa namna ya kuandika nilikuwa najaribu kutafuta picha itakayofikisha kwa urahisi ujumbe.

Ukiiangalia hii picha hapa chini utaona kuwa mzazi mmoja akiwa na Kundi O (OO) na mwingine mwenye kundi AB, watoto watakaotokana na wazazi hao watakuwa na ama Kundi A au B na si vinginevyo.

Nashindwa kupata picha yenye kuonesha Tree Diagram ya namna ya kuzicross hizo alleles ili kupata matokeo ya makundi hayo A na B.

Inheritance-of-blood-groups_medium.jpg

kwa hiyo mkuu unataka kuniambia huyu mtoto lazima awe group A or B
 
Pamoja kaka, hapa kuna vitu viwili tu, either kachanganya group la mmewe ni A ama B or akubali kuwa anatoka nje ya ndoa!
Dada nashindwa namna ya kuandika nilikuwa najaribu kutafuta picha itakayofikisha kwa urahisi ujumbe.

Ukiiangalia hii picha hapa chini utaona kuwa mzazi mmoja akiwa na Kundi O (OO) na mwingine mwenye kundi AB, watoto watakaotokana na wazazi hao watakuwa na ama Kundi A au B na si vinginevyo.

Nashindwa kupata picha yenye kuonesha Tree Diagram ya namna ya kuzicross hizo alleles ili kupata matokeo ya makundi hayo A na B.

Inheritance-of-blood-groups_medium.jpg
 
Angalia hii link hapa chini
Blood Type Child Parental Calculator -- EndMemo

Kama kweli wewe ni group O+ na mumeo ni group AB, basi mtoto wenu ana asilimia 50 ya kuwa group A na asilimia 50 ya kuwa group B. Kamwe hawezi kuwa group AB au O

Ndio maana anasema mtoto si wa kwake. Lakini nakushauri mwende kwenye DNA maana blood group siyo ufumbuzi wa mwisho. Mke au Mume anaweza kuchepuka na mtu mwenye blood group inayofanana na group ya mwenzake!

asante niko tayari huyu mtoto apimwe DNA
 
Aisee samahani lkn! Kwa elimu yangu ndogo nahisi huyo mtoto si wa mumeo! Group AB ni dominant na wewe ni group OO ni recessive! Sasa nategemea watoto wenu wote wataangukia kwenye group A na B tu. Duh, ngoja wataalam zaidi waje hapa!!

Mkuu AB sio dominant isipokuwa alleles A na B ndio dominant zikiwa crossed na O.

Ndio maana possibility ni kuwa mtoto atayezaliwa atakuwa either A au B akiwa na recessive O.

Yaani mtoto atakuwa na AO au BO.
 
kwa hiyo mkuu unataka kuniambia huyu mtoto lazima awe group A or B

Yup...that's how ABO inheritance patterns work.

Fuata ushauri niliokupa kuondoa wasiwasi, kwa namna unavyoeleza unaonesha kabisa kuwa mtoto ni wa mumeo.

Fanya vipimo vya damu tena zaidi pimeni na DNA (pima DNA ya baba na mtoto).
 
Duh..! Hali tete hii, kwa biology yangu ya genetics crossing ya kidato cha nne enzi za mwalimu inaniambia kuwa hili swala haliwezekani kutokea. May be advenced level biology ina ufafanuzi wa hili suala.

Maana kama ilikuwa ni swali la mtihani enzi zile, kutokana na blood group zenu, possible outcome ilikuwa iwe either of these blood group.

AO ama BO.

Hii yako ni hali tete kwa tulio wengi, hata ningekuwa mimi kwa kweli ningedoubt hiko kitu.
 
Yup...that's how ABO inheritance patterns work.

Fuata ushauri niliokupa kuondoa wasiwasi, kwa namna unavyoeleza unaonesha kabisa kuwa mtoto ni wa mumeo.

Fanya vipimo vya damu tena zaidi pimeni na DNA (pima DNA ya baba na mtoto).

nashukuru mkuu natafanya hivo
 
Yup...that's how ABO inheritance patterns work.

Fuata ushauri niliokupa kuondoa wasiwasi, kwa namna unavyoeleza unaonesha kabisa kuwa mtoto ni wa mumeo.

Fanya vipimo vya damu tena zaidi pimeni na DNA (pima DNA ya baba na mtoto).

Mkuu kama matokeo ya hospitali yakithibitika kwa DNA kuwa mtoto ni wa baba huyo na mama huyo na blood groups ziwe kama hivyo alivyodai huyo mama hii case itakuwaje ? Ishawahi pata tokea kesi kama hii popote pale duniani.?

Maana ninachokiona hapa hata wakipima DNA na ikathibitika ni kweli, kuna uwezekano mkubwa baba akaendelea kukataa as kwa sasa mitaani kuna uvumi kuwa ustawi wa jamii huwa wanachakachua matokeo ya DNA ili kuondoa wimbi la watoto wasio na baba na kesi zisizo za lazima katika familia husika.
 
Kama huna taaluma ya jambo husika bora usichangie Little knowledge is more dangerous than no knwledge at all. Blood group haihusiki kabisa katika kuthibitisha mtoto ni wa nani. Kinachothibitisha nasaba ni DNA. Mtoto anaweza kuchukua Bood group ya yeyote kutoka upande mmojawapo aidha kwa shangazi, mjomba babu bibi nk. Mimi ni B[SUP]+ [/SUP]mke wangu ni B[SUP]+ [/SUP]nina watoto wenye O[SUP]+ [/SUP]O- B. Watu wenye O[SUP]- [/SUP]Duniani ni wachache mno soma hapa O-Negative Blood Group
O-negative blood group is relatively rare compared to other blood groups. A person with O-negative blood group is a universal donor as O-negative blood can be transfused to any blood group. O-negative blood group has also been associated with certain personality traits.
Blood group is determined by the presence of antigen(s) on the membrane of red blood cells. The "antigens" are special molecules that can elicit an immune response. Human body recognizes its own antigens and the immune system normally will not attack own antigens (and thus the cells bearing these antigens). However, any foreign antigen will not be recognized as native and an immune response will be generated to eliminate the foreign antigens. One of the components of this attack is antibodies (special class of molecules that bind to antigens and helps immune system eliminate foreign antigens and the cells bearing them).
ABO and Rh Blood Group System
ABO blood group and Rh blood group is determined by the presence of three antigens ("A" and "B" for ABO system, "Rh" for Rh system). These two are the most important blood grouping systems and are based on the three most important antigens, i.e. A, B and Rh. It is important to note that the two are two different blood group systems that are quoted in combination. ABO blood group system is determined by the presence of A and B antigen. Rh antigen determines the Rh blood group system category. There are numerous other less important antigens and therefore numerous other blood grouping systems.
A person with "A" blood group will have "A" antigen on the red blood cells and anti-B antibody in the plasma. Similarly, a person with "B" blood group will have "B" antigen on the red blood cells and anti-A antibody in the plasma. A person with "AB" blood group will have both "A" and "B" antigens on the red blood cells and none of the above mentioned antibodies in the plasma(neither anti-A nor anti-B antibody). Blood group "O" means absence of both "A" and "B" antigens and both anti-A and anti-B antibody in the plasma.
The positive or negative in the blood group refers to the Rh antigen. A "positive" blood group means that the person has Rh antigen on the red blood cells whereas a "negative" blood group means that the Rh antigen is absent on the red blood cells. Unlike ABO system, an Rh -ve person will not have anti-Rh antibody in the blood unless he/she has been previously exposed to Rh +ve blood. Soon after birth, newborns develop anti-A and/or anti-B antibodies but not the anti-Rh antibody.
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]
Blood Group
[/TD]
[TD]
Antigen (A,B)
[/TD]
[TD]
Rh Antigen
[/TD]
[TD]
Antibodies
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] A+
[/TD]
[TD] A
[/TD]
[TD] Present
[/TD]
[TD] Anti-B
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] B+
[/TD]
[TD] B
[/TD]
[TD] Present
[/TD]
[TD] Anti-A
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] AB+
[/TD]
[TD] A, B
[/TD]
[TD] Present
[/TD]
[TD] None
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] A-
[/TD]
[TD] A
[/TD]
[TD] Absent
[/TD]
[TD] Anti-B
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] B-
[/TD]
[TD] B
[/TD]
[TD] Absent
[/TD]
[TD] Anti-A
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] AB-
[/TD]
[TD] A, B
[/TD]
[TD] Absent
[/TD]
[TD] None
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] O+
[/TD]
[TD] None
[/TD]
[TD] Present
[/TD]
[TD] Anti-A, Anti-B
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] O-
[/TD]
[TD] None
[/TD]
[TD] Absent
[/TD]
[TD] Anti-A, Anti-B
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Note: Anti-Rh is not usually present in an Rh negative person. It only develops after an exposure to Rh positive blood in a person with Rh negative blood group.
Importance of Blood Group Matching
Blood group matching is important so that the transfused blood is not attacked by the immune system of the recipient. The body will attack any foreign antigen. For e.g., A person with blood group B will be having B antigen on the red blood cells and therefore "A" antigen will be foreign. If any blood type with A antigen (A or AB blood group) is transfused, the immune system will attack such cells and this will result in the breakdown of the newly transfused red blood cells.
A person with AB+ blood group will have all 3 antigens (A, B, and Rh) on his/her red blood cells. Therefore, he can be transfused with any blood group (referred to a "universal recipient"). A person with O-negative blood group will have none of the three antigens, and therefore can only receive O-negative blood group (any other blood group will result in immune attack on the "foreign" antigen). However, this person can donate blood to any blood group person as none of the three antigens is present on the red blood cells.
O-negative Blood Group
As already mentioned, the O-negative blood group means absence of all of the three major antigens ("A", "B" and "Rh") on the red blood cells. It is important to note that there is no "O" antigen on the blood cells. The absence of antigens A and B is referred to as O blood group.
O-negative blood group is relatively rare and its prevalence varies among different races. Around 7-8% of the Caucasian population will have O-negative blood group. However, only 1% of the Asian population will have O-negative blood group. Overall, around 5% of the world's population will have O-negative blood group.
O-negative Blood Group and Pregnancy
A woman with O-negative blood group may have Rh incompatibility issues if she is pregnant with an Rh positive fetus. Complications are likely to occur in second pregnancy with an Rh positive fetus if adequate preventive measures are not taken.
However, adequate prophylactic treatment is available and it almost always prevents the complications if taken at proper schedule. The treatment involves injecting the mother with antibodies against the Rh antigen (RhoGHAM) during pregnancy and at the time of delivery of baby.
O-negative Blood Group and Blood Donation
O-negative blood group is the "universal donor" blood group. This means that a person with any blood group can receive O-negative blood. This is very important in emergency situations when a person requires immediate blood transfusion and there is no time to test his/her blood group. Such person can be transfused an O-negative blood.
People with O-negative blood group can only receive O-negative blood. Therefore, occasionally it might be difficult to find O-negative blood for transfusing an O-negative person.
O-negative Blood Group and Personality Traits
It is believed in Japanese culture that a person's blood group determines his/her personality traits. O-negative persons are believed to be more self confident, loyal, competent and passionate. They are believed to have leadership qualities and are considered innovators and trend setters. However, there is little scientific evidence in favor of this believed association and so far blood group has not been found to affect a person's personality.

CopyRight © MD-Health.com - Better Health Information from Doctors.. Last Updated 17 January, 2014.
Aisee samahani lkn! Kwa elimu yangu ndogo nahisi huyo mtoto si wa mumeo! Group AB ni dominant na wewe ni group OO ni recessive! Sasa nategemea watoto wenu wote wataangukia kwenye group A na B tu. Duh, ngoja wataalam zaidi waje hapa!!
 
Kaka bantulile hiyo kesi yako ni sawa, refer katika chart aliyoweka watu8. Yaonekana wewe ni BO na mkeo ni BO so kuwa na watoto Wenye BB, BO na OO ni possible 100%. Ila kungekuwa na mtoto ana AA ama AO miongoni mwa watoto wako hapo ingebidi ushtuke aisee. Hii kesi ya huyu dada/mama ni complex.

Hapa hatubishani tunaeleweshana mambo ya kijamii.
 
jmani kisa mtoto wake wa kwanza ambaye hakuzaa na mie amefuata blood group yake ; iweje huyu afuate blood group yangu ndo hapo hatuelewan wana jamii
 
jmani kisa mtoto wake wa kwanza ambaye hakuzaa na mie amefuata blood group yake ; iweje huyu afuate blood group yangu ndo hapo hatuelewan wana jamii

Dada kama mmeo ametumia kigezo hicho itakuwa amekosea sana, ama may be hujamuelewa vyema maelezo yake. Mtoto siku zote anachukua genes toka kwa pande zote mbili za wazazi. Huyo wa kwanza itakuwa amematch na wazazi wote wawili ndio maana hana shaka.

Ila kwa kesi yako, hata kama mtoto angezaliwa na group AB ama O, sidhani kama ingekuwa ni sahihi, na angekuwa pia na wasiwasi ingawaje ndio group zenu wazazi.

Wewe hapo fuata ushauri wa watu8, na ikithibitika hivyo, may be wewe na familia yako mnaweza kuwa case study/reference kwa vizazi vijavyo.
 
Mkuu bantulile umeweka maelezo marefu lakini siyo yanayohitajika hapa kwani hakuna mtu anayetaka kufanya blood transfusion.

Wewe una watoto O v+, O v- na B kwa kuwa ni case ambayo ukiangalia picha niliyoiweka pale juu inawezekana.

Mtu mwenye kundi B la damu maana yake ana alleles B na O (BO), B inakuwa dominant na O inakuwa recessive.

Sasa kama mkeo naye ni wa kundi hilo la B na ukafanya crossing unaona kabisa possible offspring's blood type itakuwa ni BB, BO au OO na ndio maana wanao wana O na B.

Fanya hivyo hivyo kwa Rh factor pia kama picha inavyoonesha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom