Kwa ufupi ni kama ifuatavyo: mama anapokuwa na group lolote -ve (RH -ve) ambao kwa uhalisia ni wachache sana, na Baba akawa na Group lolote lenye RH +ve, Tatizo linaweza kuwa sio kwa mimba kwa haraka haraka, linaweza kuwa kwa mtoto atakaezaliwa, Tena kwa mtoto aliechukua Rh +ve ya baba. mara nyingi huanzia kwa mtoto wa pili. Mtoto wa kwanza anapozaliwa na Rh +ve , inatokea pale anapotenganishwa na mama kwa placenta ktk placenta barrier, damu ya mtoto inaweza kuinigiliana na mama, apo mama kwa mwili wake ni Rh -ve bas damu atakayopata kwa bahati mbaya kutoka kwa mtoto wakti wa kuzaliwa itakuwa Rh +ve, Hivo mwili wa mama utatengeneza kitu inaitwa antibodies against Rh +ve iliyokuwa ktk mwili wake... itakuwa inadistroy redblood cells zanye Rh +ve.
So katika uzazi wake wa pili na utakao fuata, mtoto akichukuwa RH za baba na kukawa na exchanging za dam wakati wa kutengenesha mtoto na placenta basi zile antibody za mama za kudistroy RH +ve zikiingia kwa mtoto zitakuwa zinafanya kazi ile ile ya kudestroy redblood cells ambazo ni RH +ve. hapo mtoto anapata Ugonjwa unaitwa HDNB (Haemolitic disease of New Born) mtoto anakua jaundice...yaan wa kijan hivi...huyu mtoto anaish kwa kuongezewa damu mara kwa mara....
Kuna chanjo kwa mama mwenye RH -ve, anapatiwa ndani ya saa 72 baada ya kujifungua kwa ajili kuzuia kuproduce antibodies...
Nafikir watalaam waje waongezee pia wanaweza kunikosoa. nilisoma zaman sana na sasa siko kwa field hyo kitambo sana...