Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari!
Naomba kusaidiwa/kufafanuliwa juu ya hili.
Mimi blood group yangu ni B positive na mume wangu ni O negative.Nimepata miscarriage mara 2.Je kuna uwezekano blood groups ikawa ni sababu ya kuharibika kwa mimba hizo.
Kwa haraka haraka kufuatana na maelezo yako,kama wewe (mwanamke) una damu group B+ then hakuna uwezekano wowote blood group ikawa sababisho la kuharibika kwa mimba hizo.Angalia sababu zingine.Habari!
Naomba kusaidiwa/kufafanuliwa juu ya hili.
Mimi blood group yangu ni B positive na mume wangu ni O negative.Nimepata miscarriage mara 2.Je kuna uwezekano blood groups ikawa ni sababu ya kuharibika kwa mimba hizo.
Habari!
Naomba kusaidiwa/kufafanuliwa juu ya hili.
Mimi blood group yangu ni B positive na mume wangu ni O negative.Nimepata miscarriage mara 2.Je kuna uwezekano blood groups ikawa ni sababu ya kuharibika kwa mimba hizo.
Ni mlinganisho wa groups gn baina ya mke na mume ujauzito unaleta shida??
Oooh sawa..na vp mama anapokuwa na group +ve na baba akiwa na group -ve??Kwa ufupi ni kama ifuatavyo: mama anapokuwa na group lolote -ve (RH -ve) ambao kwa uhalisia ni wachache sana, na Baba akawa na Group lolote lenye RH +ve, Tatizo linaweza kuwa sio kwa mimba kwa haraka haraka, linaweza kuwa kwa mtoto atakaezaliwa, Tena kwa mtoto aliechukua Rh +ve ya baba. mara nyingi huanzia kwa mtoto wa pili. Mtoto wa kwanza anapozaliwa na Rh +ve , inatokea pale anapotenganishwa na mama kwa placenta ktk placenta barrier, damu ya mtoto inaweza kuinigiliana na mama, apo mama kwa mwili wake ni Rh -ve bas damu atakayopata kwa bahati mbaya kutoka kwa mtoto wakti wa kuzaliwa itakuwa Rh +ve, Hivo mwili wa mama utatengeneza kitu inaitwa antibodies against Rh +ve iliyokuwa ktk mwili wake... itakuwa inadistroy redblood cells zanye Rh +ve.
So katika uzazi wake wa pili na utakao fuata, mtoto akichukuwa RH za baba na kukawa na exchanging za dam wakati wa kutengenesha mtoto na placenta basi zile antibody za mama za kudistroy RH +ve zikiingia kwa mtoto zitakuwa zinafanya kazi ile ile ya kudestroy redblood cells ambazo ni RH +ve. hapo mtoto anapata Ugonjwa unaitwa HDNB (Haemolitic disease of New Born) mtoto anakua jaundice...yaan wa kijan hivi...huyu mtoto anaish kwa kuongezewa damu mara kwa mara....
Kuna chanjo kwa mama mwenye RH -ve, anapatiwa ndani ya saa 72 baada ya kujifungua kwa ajili kuzuia kuproduce antibodies...
Nafikir watalaam waje waongezee pia wanaweza kunikosoa. nilisoma zaman sana na sasa siko kwa field hyo kitambo sana...
hii aina tatizo....kuhusu kujamiana ni sawa....kuhusu mimba kuharibika nafikir wataalam wako humu watakuja tu kutoa ufafanuziOooh sawa..na vp mama anapokuwa na group +ve na baba akiwa na group -ve??
Baba anapokuwa ana Rh negative haina shida . Shida ni anapokuwa nayo mama ndo kunaeza tokea miscariage kama hata pata kinga baada ya kupata mtoto wa kwanzaOooh sawa..na vp mama anapokuwa na group +ve na baba akiwa na group -ve??