Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Hapa ndo ninapotofautiana na Putin. Kudadadeki ningeminya hata gunia la kilo moja ya mbolea isingetoka mpaka waondoe vikwazo vyote na kurudisha mali za Urusi walizopora.
safar ilianza kabla ya hii vita , ulitaka wasilipe ? yaan ulikuwa na den hlf mmegombana then ugomv unahalalishaj usilipe deniSiyo hilo tu, Marekani imeilipa Urusi Rubble 2 billions kama gharama ya kunsafirisha mwana anga wa Marekani kuelekea space station. [emoji3][emoji3]
Marekani anaweka vikwazo ambavyo vikimbana anaviruka ila anataka wengine waendelee kuvizingatia
Wewe Ni sawa na mtu aliyevaa earphones akisikiliza mziki kwa sauti ya juu na anajamba kwa sauti akidhani hasikiki.Wewe ni mtu ambaye unatazama tu lakini uwezo wa kuona hauna.
Lazima kuna terms wamekubaliana Urusi sio mjinga
Koo Kuna mtu tena kapewa lift kwa 2bSiyo hilo tu, Marekani imeilipa Urusi Rubble 2 billions kama gharama ya kunsafirisha mwana anga wa Marekani kuelekea space station. [emoji3][emoji3]
Marekani anaweka vikwazo ambavyo vikimbana anaviruka ila anataka wengine waendelee kuvizingatia
Wataachia tu kila kitu soonHapa ndo ninapotofautiana na Putin. Kudadadeki ningeminya hata gunia la kilo moja ya mbolea isingetoka mpaka waondoe vikwazo vyote na kurudisha mali za Urusi walizopora.
US Wajanja wajanja sanaSiyo hilo tu, Marekani imeilipa Urusi Rubble 2 billions kama gharama ya kunsafirisha mwana anga wa Marekani kuelekea space station. 😀😀
Marekani anaweka vikwazo ambavyo vikimbana anaviruka ila anataka wengine waendelee kuvizingatia
Sa mia ndiyo Zelensky...ni tskataka kabisa ambayo barani africaKua na adabu wewe. Mdada
Sema hivi Magufuli ni kama zelensky wa Ukraine
Russia wanajimudu kwa vitu vingi. Wao ndio producer na suppliers wa bidhaa muhimu kwa bei rahisi, kwa mfano Oil, ngano, mbolea, uranium iliyorutubishwa, Aluminium, Engine za kwenda huko space station, n.kTayari upepo umepuliza na Sasa tumeona nyeti za kuku.
Tuliambiwa miaka mingi Russia hna kitu,ni masikini.
Lakini wajanja tukikataa,kumbe tuliona mbali Sasa Leo boxer zimewavuka.
Kumbe Urusi sio TU ni matajiri Bali pia Wana tech adimu sana,wengine hawana.
Mimesoma pia hata uranium.
Russia ana muuzia uranium iloyorutubishwa kwa ajili ya umeme ndugu Marekani.
Nasikia Russia akigoma TU. Baadhi ya sehemu huko USA watawasha Koroboi aka vibatali.
USA anautaka usupa pawa kwa kujitutumua sana. Mchina na mrusi wanamchora tu kwenye setimira. Wanamuacha tu aneng'eneng'eke ila asijichanganye akaingia kwenye kumi na nane zao kama alivyoingia UkraineRussia wanajimudu kwa vitu vingi. Wao ndio producer na suppliers wa bidhaa muhimu kwa bei rahisi, kwa mfano Oil, ngano, mbolea, uranium iliyorutubishwa, Aluminium, Engine za kwenda huko space station, n.k
Kwa hiyo kumpa vikwazo automatically hata Europe na USA wanaumia sana. Sema USA ni wanafiki sana wanarudi kimya kimya kufanya mazungumzo kwa lengo la kupata wanachokitaka na Russia hawana shida na mtu isipokuwa mipaka yao.
Mpaka hii vita iishe wote tutakuwa tumechunika ngozi
NB,: RUSSIA SIO LIBYA
Kachanganyikiwa sio bureAcha kumfananisha Putin na vimtu vya kijingakijinga, em omba radhi
Hiyo ni fursa ya kukuza uchumi wa taifa lake Hawezi kuiacha , hata hivyo hatuwezi jua huwenda Kuna mikataba wame sign baada ya muda Fulani kuja kuondoa hivyo vikwazo [emoji38][emoji38][emoji38]Hapa ndo ninapotofautiana na Putin. Kudadadeki ningeminya hata gunia la kilo moja ya mbolea isingetoka mpaka waondoe vikwazo vyote na kurudisha mali za Urusi walizopora.
🥱[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1732]Urusi sio Zimbabwe Wala Libya,Putin kamatia hapo hapo ngoja waje wa-marekani wa Tandale na story za kina Rambo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] nafuraha sanaPesa haijui vita
Halafu ukumbuke Marekani kanunua hiyo mbolea kwa kutumia ruble,hivyo pia amekula matapishi yake ya vikwazo
Amebadili dola zake kwenda Ruble,kisha akaenda kulipia huduma ya kumsafirisha huyo mwana anga
Ruble imepanda na mkong'oto unaendelea
Savage [emoji706][emoji706]Propaganda tu hizo, hakuna ukweli hapo
[emoji38][emoji38][emoji38]Wewe Ni sawa na mtu aliyevaa earphones akisikiliza mziki kwa sauti ya juu na anajamba kwa sauti akidhani hasikiki.
Eeehh bwana tena sio bl 2 tu sema bl 2 Kwa Pesa za Russia [emoji38][emoji38]Koo Kuna mtu tena kapewa lift kwa 2b