Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

Hebu angalia usanii wa marekani
usafirishaji wa mafuta ghafi ya Urusi kwenda India umeongezeka, wakati bidhaa za mafuta iliyosafishwa nchini India zinauzwa kwa Marekani na EU
 
Siyo hilo tu, Marekani imeilipa Urusi Rubble 2 billions kama gharama ya kunsafirisha mwana anga wa Marekani kuelekea space station. [emoji3][emoji3]

Marekani anaweka vikwazo ambavyo vikimbana anaviruka ila anataka wengine waendelee kuvizingatia
safar ilianza kabla ya hii vita , ulitaka wasilipe ? yaan ulikuwa na den hlf mmegombana then ugomv unahalalishaj usilipe deni
 
Lazima kuna terms wamekubaliana Urusi sio mjinga

Naamini. Najua anawapiga pini kimya kimya na hiyo pia sipendi maana hawa mashoga wanapenda kubwabwaja sana.

Inatakiwa wakipigwa pini tutangaziwe tusherehekee turufu zetu sisi tunaoamini katika haki.
 
Tujikumbushe maigizo ya Zelensky kuwapa magobore raia wake wapigane na majeshi ya Urusi kwenye vita vya mashine "WAR OF MASHINES" (kama alivyoelezea Sniper Wali wa Canada ambaye alikimbia vita hivyo na kurudi zake Canada kula burger na ice cream)....

Siku hizi hatusikii tena hapa JF mbwembwe za Ukraine kutumia raia wake kupigana vita

images.jpeg

images (2).jpeg
images (3).jpeg
 
Siyo hilo tu, Marekani imeilipa Urusi Rubble 2 billions kama gharama ya kunsafirisha mwana anga wa Marekani kuelekea space station. 😀😀

Marekani anaweka vikwazo ambavyo vikimbana anaviruka ila anataka wengine waendelee kuvizingatia
US Wajanja wajanja sana
 
Tayari upepo umepuliza na Sasa tumeona nyeti za kuku.
Tuliambiwa miaka mingi Russia hna kitu,ni masikini.
Lakini wajanja tukikataa,kumbe tuliona mbali Sasa Leo boxer zimewavuka.
Kumbe Urusi sio TU ni matajiri Bali pia Wana tech adimu sana,wengine hawana.
Mimesoma pia hata uranium.
Russia ana muuzia uranium iloyorutubishwa kwa ajili ya umeme ndugu Marekani.
Nasikia Russia akigoma TU. Baadhi ya sehemu huko USA watawasha Koroboi aka vibatali.
Russia wanajimudu kwa vitu vingi. Wao ndio producer na suppliers wa bidhaa muhimu kwa bei rahisi, kwa mfano Oil, ngano, mbolea, uranium iliyorutubishwa, Aluminium, Engine za kwenda huko space station, n.k
Kwa hiyo kumpa vikwazo automatically hata Europe na USA wanaumia sana. Sema USA ni wanafiki sana wanarudi kimya kimya kufanya mazungumzo kwa lengo la kupata wanachokitaka na Russia hawana shida na mtu isipokuwa mipaka yao.
Mpaka hii vita iishe wote tutakuwa tumechunika ngozi

NB,: RUSSIA SIO LIBYA
 
USA anautaka usupa pawa kwa kujitutumua sana. Mchina na mrusi wanamchora tu kwenye setimira. Wanamuacha tu aneng'eneng'eke ila asijichanganye akaingia kwenye kumi na nane zao kama alivyoingia Ukraine

Na usupa pawa wake anaishia kUbweka tu kama mbwakoko
 
Hapa ndo ninapotofautiana na Putin. Kudadadeki ningeminya hata gunia la kilo moja ya mbolea isingetoka mpaka waondoe vikwazo vyote na kurudisha mali za Urusi walizopora.
Hiyo ni fursa ya kukuza uchumi wa taifa lake Hawezi kuiacha , hata hivyo hatuwezi jua huwenda Kuna mikataba wame sign baada ya muda Fulani kuja kuondoa hivyo vikwazo [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Pesa haijui vita

Halafu ukumbuke Marekani kanunua hiyo mbolea kwa kutumia ruble,hivyo pia amekula matapishi yake ya vikwazo

Amebadili dola zake kwenda Ruble,kisha akaenda kulipia huduma ya kumsafirisha huyo mwana anga

Ruble imepanda na mkong'oto unaendelea
[emoji38][emoji38][emoji38] nafuraha sana
 
Back
Top Bottom