Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

Wasiuziwe mpaka waombe hadharani wanajifichaficha nini kenge hao
 
Ningemwambia Biden aombe mzigo mbele ya Camera asilete umama [emoji16][emoji16][emoji16] yani US imekuwa kama Chadema sahizi
Eu kwa sasa wameanza kuonja shida ya Ngano, Kwa sasa supply chain ya Ngano Ulaya imekuwa shida. Canada haiwezi kulisha dunia kwa ngano yake.
Very soon Ulaya wataenda kimya kimya kutafuta ngano Russia
 
Eu kwa sasa wameanza kuonja shida ya Ngano, Kwa sasa supply chain ya Ngano Ulaya imekuwa shida. Canada haiwezi kulisha dunia kwa ngano yake.
Very soon Ulaya wataenda kimya kimya kutafuta ngano Russia
Hahahah watatuma mwakilishi akaombe poo maana ngano ya Ukraine ndio ilikuwa inawapa kiburi.
 
US anachotaka ni uranium iliyorutubishwa iingie nchi kwake halafu takataka za hatari zinazobaki wabaki nazo wengine wakipambana nazo.
 
USA ana hamu sana kuona EU ikiwa dhaifu. Anajua ikiwa EU ikapata nguvu ni tishio kwake. Ila kwa hii vita yaani kawaacha uchi
 
Atamuuzia nani sasa asipowauzia matajiri?
Atapata wapi pesa za kulisha watu wake?
Oligarchs watapata wapi pesa za kufanya starehe?
Wasiuziwe mpaka waombe hadharani wanajifichaficha nini kenge hao
 
Kwani gesi wananua kimya kimya??
Eu kwa sasa wameanza kuonja shida ya Ngano, Kwa sasa supply chain ya Ngano Ulaya imekuwa shida. Canada haiwezi kulisha dunia kwa ngano yake.
Very soon Ulaya wataenda kimya kimya kutafuta ngano Russia
 
Harafu kuna mafala huku Tanzania yanamlaumu mh.Rais Kwa kesi kama Hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…