Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwikwikwii wakupuliza huna adabu maneno gani tena haya.....Wewe Ni sawa na mtu aliyevaa earphones akisikiliza mziki kwa sauti ya juu na anajamba kwa sauti akidhani hasikiki.
Jirani yetu wa kaskazini wakat vita inaanza alijifanya kidume na kutoa kauli za kutaka kuitikisa Russia...akaishia kutikisa matako yake 😅,: RUSSIA SIO LIBYA
Magufuli Ni Kama Putin wa Kiafrika
Wasiuziwe mpaka waombe hadharani wanajifichaficha nini kenge haoMarekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya Urusi wakati Urusi ni moja ya nchi zitegemewazo duniani ktk ku-supply mbolea duniani.
Bloomberg yasema Biden ilimlazimu atume mjumbe wake kimyakimya kwenda Moscow (Urusi) kuomba 'poo' ktk suala la mbolea ili Putin awapatie Marekani mbolea zaidi kwa ajili ya kuepuka bei kupanda zaidi lakini pia uhaba wa chakula mwaka ujao.
View attachment 2259733View attachment 2259734
Magufuli hakuwa na akili za tope tope namna hiyoKua na adabu wewe. Mdada
Sema hivi Magufuli ni kama zelensky wa Ukraine
Ningemwambia Biden aombe mzigo mbele ya Camera asilete umama 😁😁😁 yani US imekuwa kama Chadema sahiziWasiuziwe mpaka waombe hadharani wanajifichaficha nini kenge hao
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wewe Ni sawa na mtu aliyevaa earphones akisikiliza mziki kwa sauti ya juu na anajamba kwa sauti akidhani hasikiki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ningemwambia Biden aombe mzigo mbele ya Camera asilete umama [emoji16][emoji16][emoji16] yani US imekuwa kama Chadema sahizi
Eu kwa sasa wameanza kuonja shida ya Ngano, Kwa sasa supply chain ya Ngano Ulaya imekuwa shida. Canada haiwezi kulisha dunia kwa ngano yake.Ningemwambia Biden aombe mzigo mbele ya Camera asilete umama [emoji16][emoji16][emoji16] yani US imekuwa kama Chadema sahizi
Hahahah watatuma mwakilishi akaombe poo maana ngano ya Ukraine ndio ilikuwa inawapa kiburi.Eu kwa sasa wameanza kuonja shida ya Ngano, Kwa sasa supply chain ya Ngano Ulaya imekuwa shida. Canada haiwezi kulisha dunia kwa ngano yake.
Very soon Ulaya wataenda kimya kimya kutafuta ngano Russia
Magufuli Ni Kama Putin wa Kiafrika
Hapa Putin ndipo ananikera, why asiwakazie na kuwaweka wazi hawa mashoga na trick zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari upepo umepuliza na Sasa tumeona nyeti za kuku.
Tuliambiwa miaka mingi Russia hna kitu,ni masikini.
Lakini wajanja tukikataa,kumbe tuliona mbali Sasa Leo boxer zimewavuka.
Kumbe Urusi sio TU ni matajiri Bali pia Wana tech adimu sana,wengine hawana.
Mimesoma pia hata uranium.
Russia ana muuzia uranium iloyorutubishwa kwa ajili ya umeme ndugu Marekani.
Nasikia Russia akigoma TU. Baadhi ya sehemu huko USA watawasha Koroboi aka vibatali.
USA ana hamu sana kuona EU ikiwa dhaifu. Anajua ikiwa EU ikapata nguvu ni tishio kwake. Ila kwa hii vita yaani kawaacha uchiMarekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya Urusi wakati Urusi ni moja ya nchi zitegemewazo duniani ktk ku-supply mbolea duniani.
Bloomberg yasema Biden ilimlazimu atume mjumbe wake kimyakimya kwenda Moscow (Urusi) kuomba 'poo' ktk suala la mbolea ili Putin awapatie Marekani mbolea zaidi kwa ajili ya kuepuka bei kupanda zaidi lakini pia uhaba wa chakula mwaka ujao.
View attachment 2259733View attachment 2259734
Wasiuziwe mpaka waombe hadharani wanajifichaficha nini kenge hao
Eu kwa sasa wameanza kuonja shida ya Ngano, Kwa sasa supply chain ya Ngano Ulaya imekuwa shida. Canada haiwezi kulisha dunia kwa ngano yake.
Very soon Ulaya wataenda kimya kimya kutafuta ngano Russia
USA ana hamu sana kuona EU ikiwa dhaifu. Anajua ikiwa EU ikapata nguvu ni tishio kwake. Ila kwa hii vita yaani kawaacha uchi
Harafu kuna mafala huku Tanzania yanamlaumu mh.Rais Kwa kesi kama Hizi.Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya Urusi wakati Urusi ni moja ya nchi zitegemewazo duniani ktk ku-supply mbolea duniani.
Bloomberg yasema Biden ilimlazimu atume mjumbe wake kimyakimya kwenda Moscow (Urusi) kuomba 'poo' ktk suala la mbolea ili Putin awapatie Marekani mbolea zaidi kwa ajili ya kuepuka bei kupanda zaidi lakini pia uhaba wa chakula mwaka ujao.
View attachment 2259733View attachment 2259734