Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Bloomberg yasema kuwa Putin kayakusanya mataifa makubwa duniani, China na India, kwenye mazoezi ya kivita ya kimataifa ya Vostok-2022 yanayofanyika Urusi kwa wiki 1.
Bloomberg yasema hatua hiyo ya Putin kuyakusanya mataifa makubwa nchini Urusi inazizodoa na kuzivunjavunja jitihada za Marekani na mashoga zake za kutaka Urusi itengwe na mataifa mengine duniani kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine.
Aidha Bloomberg imedokeza kuwa mazoezi hayo yanayoanza alhamisi leo yanahusisha wanajeshi zaidi ya 50,000 na mashine za kivita zaidi ya 5,000 zikiwemo ndegevita zaidi ya 140 na melivita zaidi ya 60. Mazoezi hayo yatahusisha pia mazoezi ya kivita ya majeshi ya maji (navy) kwenye bahari ya Japan.
======
More than 50,000 troops and 5,000 pieces of military equipment, including more than 140 aircraft and 60 warships, are due to take part in the week-long Vostok-2022 war games that start Thursday in Russia’s far east, including naval drills in the Sea of Japan.
www.bloomberg.com

Putin Brings China and India to Russia for War Games Defying US
- India sends small contingent to Vostok-2022 military exercises
- More than 50,000 troops to take part in the week-long drills
More than 50,000 troops and 5,000 pieces of military equipment, including more than 140 aircraft and 60 warships, are due to take part in the week-long Vostok-2022 war games that start Thursday in Russia’s far east, including naval drills in the Sea of Japan.
Putin Brings China and India to Russia for War Games Defying US
Russia is holding major military exercises involving China and India as President Vladimir Putin pushes back against attempts by the US and its allies to isolate him over his invasion of Ukraine.