Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
Ili iweje mkuuWeka picha karma
Daaah noma mkuuKuna ndugu mmoja nimemjulia hali tangu asubuhi saa tatu. Hajajibu mpaka sasa ivi....kesho nataka nikamtumie barua posta nione kipi kitatangulia kuleta majibu
Kwani lazima akujibu?Kuna ndugu mmoja nimemjulia hali tangu asubuhi saa tatu. Hajajibu mpaka sasa ivi....kesho nataka nikamtumie barua posta nione kipi kitatangulia kuleta majibu
Taki vya bure mienmebet nmepata million 2 nataka nkurushie hats laki 2½ 🚶🚶🚶
Nini faida yake?Duh basi tuko tofauti
Mie huwa napenda ndiyo niwe wa mwisho hata kama nitakosa kabisa cha kuchat nitaweka hata emojis ili mradi tu niwe wa mwisho
Basi tu mie napendaNini faida yake?
Haya ulikua utaacha mwenyeweBasi tu mie napenda
I was just joking KarmaIli iweje mkuu
Ni lazima ajibu.Kwani lazima akujibu?
Unalazimisha kujibiwa?
Kama hataki kujibu?Ni lazima ajibu.
Kwanini asijibu wakati hana kinachomfanya asiweze kujibu?
Kama hataki unaachana naye/nao tu baaasKama hataki kujibu?
Okay...Ukiona mtu anachelewa kukujibu jua huna THAMANI.
Thank you nowAcha kulia lia ongeza thamani yako watu waanze kukujibu haraka au uanze kutafutwa.
Simply Tafuta pesa, tafuta pesa. You'll thank me later
Mkuu, huyo jamaa ana PhD ya ubishi na JF nzima wanamjuaNi lazima ajibu.
Kwanini asijibu wakati hana kinachomfanya asiweze kujibu?
CoolI was just joking Karma
Duuh unaujua umri wanguHaya ulikua utaacha mwenyewe
HayaI was just joking Karma
CoolHaya