BLUEBAND imeniletea kauvimbe maeneo ya sehemu siri msaada

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
nimtumiaji wa bluband sio sana ila naona imeniletea aleji flani hivi
nimetokwa na uvimbe kama jibu karibu na dushe pale kwenye bustani kwa pembezoni
nini athari yake na dawa maana linaninyima raha
msaada wana jF plz
 
unauhakika kua blue band ndio iliyosababisha ??unapakaga blue band kama mafuta kwenye ngozi au kilainishi during sex??hebu fafanua hayo mengine yatafuata
 
Sijaelewa hapo ulipogundua kuwa ni blueband ndio imesababisha kauvimbe!!!!!!!!
 
nenda kanunue sabuni aina ya zoa zoa au tetmosol vitakwisha mara.
 
huwa natumia katika mkate na uji wa ulezi
 
unaitaji ukamuone daktar maana unga wa ulezi unakua na mchanganyiko wa nafaka nyingi sana wengine wanaweka adi dagaa.sasa kama kuna kitu hampatani nacho ni rahis kukusababishia mauvimbe na hata muwasho mkali
 
Sijaelewa hapo ulipogundua kuwa ni blueband ndio imesababisha kauvimbe!!!!!!!!

na uhakika ndo hiyo maana nilivyo anza kuitumia na uvimbe ukawa unaanza taratibu
 
na uhakika ndo hiyo maana nilivyo anza kuitumia na uvimbe ukawa unaanza taratibu

Mimi nishaachana na blueband miaka miwili sasa, huwa inanitoa machunusi makubwa sana usoni, nikiitumia baada ya masaa kama mawili ivi naanza kuona reaction kwenye ngozi ya uso, nilikuwa naipenda sana kwenye uji wa ulezi.
 
unaitaji ukamuone daktar maana unga wa ulezi unakua na mchanganyiko wa nafaka nyingi sana wengine wanaweka adi dagaa.sasa kama kuna kitu hampatani nacho ni rahis kukusababishia mauvimbe na hata muwasho mkali

shukran
 
nimtumiaji wa bluband sio sana ila naona imeniletea aleji flani hivi
nimetokwa na uvimbe kama jibu karibu na dushe pale kwenye bustani kwa pembezoni
nini athari yake na dawa maana linaninyima raha
msaada wana jF plz

Cheki Na MBUPU Zako Pia Yawezekana Ukawa Na Tezi Dume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…