Hivi huyu Hova nani bado anamsikiliza?
Prediction: He won't go platinum in the first week like Weezy did. Nani anabisha?
Mimi naona hizo 'predictions' zako ni "VAPOUR"
Mchizi bado yuko juu katika ulimwengu huu wa Hip-hop na atoa pini kali kinoma zenye flavour za ki-real hip hop, ki-hardcore, street vession, commercial-hip hop na duet za kubwaga zenye mvuto wa kusikiliza na messages kwa jamii.
He is HOVA,.. A BIG BOY., a grandMaster of hip-hop yester,today and forever stays in the top.
Mchizi vision yake ni ku-rise up under grounds waingie katika the world of hip hop or r&b hip-hop na hiyo ndio inampa heshima kubwa sana united state kuliko hicho unachodhania kupewa 'platimum' mfano mzuri Ryahana, Jadakiss na wengine wengi. Kwa kusaidia jamii especially undergrounds ata amechaguliwa kuwa Balozi wa umoja wa Mataifa hii ni heshima kubwa sana na haitolewi tuu hivihivi wana angalia a positive contrbutions to the society.
Hata wanamuziki maarufu kama the late MJ ( Michael jackson) hakupewa heshima kubwa ya kuwa balozi wa umoja wa mataifa kama aliyonayo Mchizi JIGGAR JAY-Z!

Mchizi wangu wamfagilia Jigga sana, lakini makali yake yamepungua kinoma, uki linganisha album zake za zamani na hizi latest zake utaona ambacho nasema.. Jamaa alijideclare God MC, ikamuingia kichwani, akawacha kuandika mistari na akaanza kufree style kwenye albums zake.
Jay alikuwa mkali, saa hizi mimi simpi skio, labda nimskize protegee wake, Drake.
Mheshimiwa,smatta! Mpe shavu Mchizi Jiggar.
Jiggar sasa hivi yeye ni kama chachu ( catalyst) katika Hip-hop industry,anaishikilia hip-hop isiyumbe au kuporomoka kama kwetu hapa jinsi hip-hop ilivyokosa muelekeo kwa kuzaliwa Bongo-flavour!
Jiggar! kipindi fulani alitangaza kuacha kabisha kushika MIC na kutoa album yake ya mwisho ya H.O.V.A na kubakia Rais wa kampuni yake ya RocaFella ilyojikita katika mavazi.
Mchizi anaona hip-hop inakwenda Mrama ndio maana anajaribu kuja kivingine kidogo ili kuiokoa HIP-HOP, kama walivyofanya wakina KRS-ONE, DAS-EFX na LORDS OF UNDERGROUND miaka hiyo ya zamani kidogo ndio wakazaliwa watu kama akina JAY-Z, METHOD MAN,RED MAN and NAS na Machizi kibao wanaofanya Hip-Hop ya UKWELI.
Mchizi anakuja kivingine sana katika Album yake na itakuwa kali sana.,kuna pini kali sana la 'Run this Town' aliyowashilikisha watu kama KANYE WEST na RIHANNA, hapo utaona yeye ana- act like a catalyst anawapa shavu akina rihanna na kanye wafanye The real HIP-HOP.
Mchizi wangu wamfagilia Jigga sana, lakini makali yake yamepungua kinoma, uki linganisha album zake za zamani na hizi latest zake utaona ambacho nasema.. Jamaa alijideclare God MC, ikamuingia kichwani, akawacha kuandika mistari na akaanza kufree style kwenye albums zake.
Jay alikuwa mkali, saa hizi mimi simpi skio, labda nimskize protegee wake, Drake.
Mheshimiwa,
skiza basi hiyo album kwenye hii site, facezook.com, kisha uniambie kama huyu ndie ule young alietupatia dirt of yo shoulder.. Aliweka bar too high hata kwake mwenyewe.
Jay Z hajawahi kuuza platinum kwenye wiki ya kwanza.
Toka lini first week platinum status ndio ikawa kigezo cha success ya album? When did the standards get so high? Only 3 or 4 rappers to have managed that feat and Y'all act like the rest of the game is garbage...
Kama wewe ni shabik wa Hip Hop, utakumbuka fiddy cent ndie alianzisha hii upuzi ya numbers, akianza kuambia wenzake wana lay bricks(yani wanauza gold) instead of selling platinum, kuanzia hapo kila mtu akaanza kuweka alot of effort on pushing platinum the first week..
Mimi album ambayo na ibump kwa sana ni Loso's way na hii mpya ya Slaughter House (akina Joe Budd, Joel Ortis, third eye,) thats a classic though ime uza 17 000 first week.
Jigga amekuwa garbage, after postpom=nment ya hii album for so long he still doesnt deliver, it doesnt matter whether he raps from the top of his head or he writes ish down, what fans want to hear is quality.