Bluestacks Emulator ukiipakua App inasubiri sana haikubali

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
332
Reaction score
549
Niko na bluestacks emulator kwenye pc yangu mwanzo ilikuwa ina download playstore apps vzr tu, lakini sasa kila app ninayodownload inawaiting sana wala haidownload na hakuna app nyingine yoyote ambayo inatakiwa kusubiriwa.

niko na apps mbili tu google drive na whatsapp tu na zinapiga kazi vizuri tu ispokuwa nikitaka kuongeza app nyingine ndio inasema ivo

Msaada wataalam.
 
Version yako sio ya zamani? Pengine playstore ipo out of date.
 
Tupe specification ya pc yako na app ngapi ulikua ume install
 
Izi emulator ata uwe na PC latest version na Net ya uhakika bado App haztafanya kazi kama kwenye Simu kuna kau-delay flani ambako hakakwepeki ata utumie emulator gan
Ukiwa na ssd na pc ya Intel yenye virtualization pamoja na cpu ya maana speed ni nzuri kushinda Hata simu.

Gamers wakubwa duniani wa simu wanatumia emulators badala ya simu.
 
Tupe specification ya pc yako na app ngapi ulikua ume install
Screenshot (1).png
 
Nenda ka enable virtualization kwenye bios, au tumia emulator inaitwa nox player, hio ni maalumu kwa gamers...
 
acer mini laptop mkuu
fUNGUA cmd (command prompt) then andika systeminfo then bofya enter ikileta maandishi utaona vitu kama Host Name:, OS Name n.k cha kufanya tazama sehemu wameandika System Model then leta mrejesho model yake.....

Au screenshot maandishi
 
Niko na bluestacks emulator kwenye pc yangu mwanzo ilikuwa ina download playstore apps vzr tu, lakini sasa kila app ninayodownload inawaiting sana wala haidownload na hakuna app nyingine yoyote ambayo inatakiwa kusubiriwa.

niko na apps mbili tu google drive na whatsapp tu na zinapiga kazi vizuri tu ispokuwa nikitaka kuongeza app nyingine ndio inasema ivo

Msaada wataalam.
Je Nox Player haikubali?
 
fUNGUA cmd (command prompt) then andika systeminfo then bofya enter ikileta maandishi utaona vitu kama Host Name:, OS Name n.k cha kufanya tazama sehemu wameandika System Model then leta mrejesho model yake.....

Au screenshot maandishi
system model travelmate
B113
X64 BASED PC
1 PROCESSOR(S) INSTALLED
(01) INTEL 64 FAMILY 6 MODEL 58 STEPPING 9 GENUINE INTEL
 
Ushauri.........
Achana na windows 8, tumia windows 10 na ufanye updates...
Enable virtualization kwenye bios...

Kwa tatizo la playstore kuna video nyingi youtube waweza fuata....

thanks...
 
Mkuu mimi pc yangu siwezi ku access bios maana ina password na password siijui. Kuna namna nyingine naweza ku allow virtulization without bios ???
 
Back
Top Bottom