Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 332
- 549
Mkuu unaweza kuwa na window 11 cracked unisaidie?Ndo matatzo ya emulator zote sio bluestucks tu
Soln:Window 11
Win 11 haijatoka sasa hivi unatest tu na kutest ni bure, download kisha install tu hakuna haja ya crack na crack haipo.Mkuu unaweza kuwa na window 11 cracked unisaidie?
Version yako sio ya zamani? Pengine playstore ipo out of date.Niko na bluestacks emulator kwenye pc yangu mwanzo ilikuwa ina download playstore apps vzr tu, lakini sasa kila app ninayodownload inawaiting sana wala haidownload na hakuna app nyingine yoyote ambayo inatakiwa kusubiriwa.
niko na apps mbili tu google drive na whatsapp tu na zinapiga kazi vizuri tu ispokuwa nikitaka kuongeza app nyingine ndio inasema ivo
Msaada wataalam.
Ukiwa na ssd na pc ya Intel yenye virtualization pamoja na cpu ya maana speed ni nzuri kushinda Hata simu.Izi emulator ata uwe na PC latest version na Net ya uhakika bado App haztafanya kazi kama kwenye Simu kuna kau-delay flani ambako hakakwepeki ata utumie emulator gan
Tupe specification ya pc yako na app ngapi ulikua ume install
View attachment 1902964Tupe specification ya pc yako na app ngapi ulikua ume install
Tupe specification ya pc yako na app ngapi ulikua ume install
acer mini laptop mkuuUme enable virtualization? unatumia pc brand ipi?
nielekeze jinsi ya ku enable hiyo maana sijuiUme enable virtualization? unatumia pc brand ipi?
fUNGUA cmd (command prompt) then andika systeminfo then bofya enter ikileta maandishi utaona vitu kama Host Name:, OS Name n.k cha kufanya tazama sehemu wameandika System Model then leta mrejesho model yake.....acer mini laptop mkuu
Je Nox Player haikubali?Niko na bluestacks emulator kwenye pc yangu mwanzo ilikuwa ina download playstore apps vzr tu, lakini sasa kila app ninayodownload inawaiting sana wala haidownload na hakuna app nyingine yoyote ambayo inatakiwa kusubiriwa.
niko na apps mbili tu google drive na whatsapp tu na zinapiga kazi vizuri tu ispokuwa nikitaka kuongeza app nyingine ndio inasema ivo
Msaada wataalam.
system model travelmatefUNGUA cmd (command prompt) then andika systeminfo then bofya enter ikileta maandishi utaona vitu kama Host Name:, OS Name n.k cha kufanya tazama sehemu wameandika System Model then leta mrejesho model yake.....
Au screenshot maandishi
Je Nox Player haikubali
Ushauri.........system model travelmate
B113
X64 BASED PC
1 PROCESSOR(S) INSTALLED
(01) INTEL 64 FAMILY 6 MODEL 58 STEPPING 9 GENUINE INTEL
Mkuu mimi pc yangu siwezi ku access bios maana ina password na password siijui. Kuna namna nyingine naweza ku allow virtulization without bios ???Ushauri.........
Achana na windows 8, tumia windows 10 na ufanye updates...
Enable virtualization kwenye bios...
Kwa tatizo la playstore kuna video nyingi youtube waweza fuata....
thanks...