Kwa hizi PC zetu uchwara emulator zinazumbua Sana,
Mimi nilikuwa Natumia windows 8 nilikuwa Natumia YOUWAVE safi na vile Sina smartphone na access WhatsApp
Sasa nilivoweka Windows 10 hakuna emulator iliyokubali mpaka nikajuta kiherehere changu Cha kubadili windows