Akina Chris Rock wapo wengi tu dunia hii, kuna watu wanaunga story mpaka inakaribia na ukweli~ha ha ha!.I overheard this story!
A: Umemcheki yule mrembo mshkaji?
B: Da! Ni balaa kaka, mzuri kama jini! Jamani kuna watu wazuri wazuri dunia hii!!
A: Mm huwa namzimia balaa, lakn hata kumpa salamu tu huwa naogopa!
B: aha ha haaa! we pumba kweli!...utamwambia nini huyo ww...!
C: Dah! ningekuwa mchawi wallah ningempigia misele usiku!
A: Au M na K zingekuwa na BLUETOOTH! Unasechi jina tu, kitu kinachoma ndani!
Nilishindwa kujizuia kucheka, wahahaa haha haaa! Kucheka ni dawa jamani
:yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck:
Akina Chris Rock wapo wengi tu dunia hii, kuna watu wanaunga story mpaka inakaribia na ukweli~ha ha ha!.
I overheard this story!
A: Umemcheki yule mrembo mshkaji?
B: Da! Ni balaa kaka, mzuri kama jini! Jamani kuna watu wazuri wazuri dunia hii!!
A: Mm huwa namzimia balaa, lakn hata kumpa salamu tu huwa naogopa!
B: aha ha haaa! we pumba kweli!...utamwambia nini huyo ww...!
C: Dah! ningekuwa mchawi wallah ningempigia misele usiku!
A: Au M na K zingekuwa na BLUETOOTH! Unasechi jina tu, kitu kinachoma ndani!
Nilishindwa kujizuia kucheka, wahahaa haha haaa! Kucheka ni dawa jamani
Akina Chris Rock wapo wengi tu dunia hii, kuna watu wanaunga story mpaka inakaribia na ukweli~ha ha ha!.
Hiyo ilishakuwa ngumu wasioweza wabakii vivyo hivyoKwani hata bluetooth si mpaka mtu a-accept
QUOTE=afrodenzi;Jamaa mtaalum sana huyo...
Mh! Mtaalamu kwa lipi?