Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kwa sasa kuna jamaa mmoja hivi.Dah we jamaa unakipaji cha kusisimsha akili ya msomaji. Unafaa kuwa na kipindi cha kuelezea movie na kufanya watu wawe na interest ya kuitafuta na kuitazama.
Unanikumbusha miaka ya 1990's kulikuwa na Dada m'moja pale ITV alikuwa anaitwa Manuel kama sio Emanuel Elias, alikuwa anatangaza ratiba ya kipindi kinachofuatia.
Sasa nilikuwa napenda sana akiwa anatoa utambulisho mfupi wa kifuatacho especially movie yaani the way anavyosimulia kwa ufupi anakupa ushawishi wa kuacha kila kitu kutulia na kutazama hiyo movie aiseee na lazima utaipenda.
Nakumbuka alikuwa anaielezea movie ile ya Van damme ya cyborg al maarufu "Van damme Msalabani".
Aaaah aiseee anakupa mzuka balaa.
Nae ni underground ila anajua mno