BLUMHOUSE - Wakali wa movies za kutisha duniani

Kwa sasa kuna jamaa mmoja hivi.
Nae ni underground ila anajua mno
 
Lionsgate hawaeleweki wako wapi. Hawana upande mmoja hao. Utawatakuta kwenye vita, mapenzi, drama, thrillers n.k wao wanaenda na IDEA yoyote.

Ila hawa BLUMHOUSE ukiwaona jua ni Horror TU. Kwa mbali anakuja GHOST HOUSE.
 
Mkuu kiufupi we ni hatari unajua sana kuchambua movies aiseee yaani hatare mno..

Naomba kama ushawahi icheki hii immaculate ya yule sister naomba uelezee pia
Kaka, hiyo nishaipitia kitambo tu. Ebu pitia uzi huu.

Mkuu wewe hatareee na nusu aiseeee
 
Hapo nimeona mbili,hiyo truth or dare nzuri sana..ni kisasi
 
Kaka Blumhouse movie zao kalii sana afu zinafaa uzicheki usiku πŸ˜πŸ˜‚ Kuna hii hush bubu aliupiga sana mwingi
 
Kaka Blumhouse movie zao kalii sana afu zinafaa uzicheki usiku πŸ˜πŸ˜‚ Kuna hii hush bubu aliupiga sana mwingi
Hizi movie ingawa niuongo lakini naziogopa.
Jana nimejaribu kuangalia evil dead rise, naingalia kimachalemachale, kama pale jamaa anakwangulia ngozi na grater hadi mimi nikahisi maumivu.
 
Hizi movie ingawa niuongo lakini naziogopa.
Jana nimejaribu kuangalia evil dead rise, naingalia kimachalemachale, kama pale jamaa anakwangulia ngozi na grater hadi mimi nikahisi maumivu.
Mkuu hizi Raha yake ucheki usiku sana πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ nzuri sana hizi
 
Ahsante sana kaka, na mimi nafanya yote haya just for hobby. Hamna ninachoingiza wala kupata but I just enjoy it.

Huku navizia vizia kupost, karibu na Telegram kaka.
Steve natamani ungekuwa kwenye kipindi Cha mkanda pale Azam wewe ni nomaaa kuna ile disk sijui flash unaweka movie nyingi embu niulizie nizijaze nitazame .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…