it is very precise,lakini kwa nature ya kazi za watu hapa watataka EVIDENCE!labda watatataka SAMPLE😀I contend that South Africa is more developed than the rest of Africa south of the Sahara because it has the largest population of white inhabitants.
Is that precise enough?
Hahahaha sio Mitanzania komredi? maana ukienda Miafrika ya Rwanda ipo tofauti na ya Tanzania ndo maana yanaendelea hivyo hivyo ukienda Miafrika ya S.A nayo imepiga hatua.
Nimeshakuambia kuongea huko kumewezesha watoto wakae kwenye madawati, wapate umeme na watumia kompyuta katika shule yako ya msingi! Hivi ulichanga wewe? Au unakumbukia tu miti ya mikwaju pale Vidudu?
Kweli komredi maana siasa za sisi wabongo ni mdomoni tu kufanya matendo tunapiga hatua 2 nyuma kuna watu maskini sana ukienda Monduli watu wana njaa kali nn kifanyike watu bla bla tu. Vp Gym hujaenda?
Gym natinga kesho babu....leo siku ya mapumziko. Kesho nitasukuma uzito kama sina akili nzuri....
Hehehehe hivi ukipiga Gym na ukapiga ulabu vinaendana?
Kwani sauzi hakuna nyumba za udongo na yale mabanda wanayoyaita 'shacks'?
bahati yako umeiediti post yako!hata hivyo bado sijakukubali!KAWAIDA SANAA true scenario highlighting the lack of preciseness/precision:
Companero: Una samaki?
Waiter: Ndio wapo!
Companero: Aina gani?
Waiter: Sijui!
Waiter: Sijui ni Changu au Kibua - au ni Sato na Perege!
[A couple of imprecise seconds elapse]
Waiter: Nikuletee?
Companero: [Puzzled!]
Waiter: Ngoja nikaulize!
[Transaction delayed. Time wasted. Development stagnated]
What is the precise rationale of your recommendation?
How did/do you measure 'very' precise?
I contend that South Africa is more developed than the rest of Africa south of the Sahara because it has the largest population of white inhabitants.
Is that precise enough?
after he/she answers:What is your definition of "precise"?
What is your definition of "precise"?
Bluray, has raised an important question about the importance of being precise. Could this be the precise problem that is inhibiting Tanzania and Tanzanians from developing? If that is the case how do we transform such an imprecise society into a precise one? Is it through civilization and modernization? Does acculturation and adaptation of science and technology bring precision/preciseness? Or?
"By concentrating on precision, one arrives at technique, but by concentrating on technique one does not arrive at precision" - Bruno Walter