Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Mkuu 😹Abiria waliosafiri na BM Coach Kutoka Arusha siku ya Jumapili, namba ajwa hapo juu, ilitoka saa nne kamili na kufika moshi Saa sita kasoro, japo ilipaswa kufika saa tano na nusu kama tiketi za Moshi zinavyo onyesha kwenye kituo chao jirani na TRA Moshi
Abiria wana mabegi na mizigo mingine na imebaki kwenye buti ya basi na limekwenda mbezi kwanza, unataka afanyeje?Wabongo nasi twapenda miseleleko.. imeshajulikana bus linakumwaga wapi na linaishia wapi.. kwanini usijiweke mkao mpaka usubiri shuttle ya bure?
Hayo masaa mliyosubiri mngekuwa mmeshafika muendako regards ya foleni za Dar.
Next time panda tren, utashukia posta ushike uelekeo wako
Umechagua angle moja tu, wala kuchelewa haijal;alamikiwa maana pale kwa mrefu kulikuwa na ajali ya lori , ilisababisha uchelewaji, hoja ya kuanzia kibo Complex hujaona?Mkuu 😹
Inaonekana unapenda kulalamika.. sasa hapa mbona mmechelewa kwa robo saa tu? Sio inshu kabisa maana kuna muda pale mataa ya Mianzini kuna vifoleni mshenzi.. kuna wanaopandia njiani nk
Pole bana.
Abiria waliosafiri na BM Coach Kutoka Arusha siku ya Jumapili, namba tajwa hapo juu, ilitoka saa nne kamili na kufika moshi Saa sita kasoro, japo ilipaswa kufika saa tano na nusu kama tiketi za Moshi zinavyo onyesha kwenye kituo chao jirani na TRA Moshi.
Abiria wa Dar es salaam walifika Tegeta kibo Complex majira ya sa nne kamili usiku na utingo ambaye ni binti mdogo mweusi asiye na uzoefu japo ana roho nzuri, aliwatangazia abiria wanaoshukia Shekilango kuteremka hapo Kibo Complex na kusbiri usafiri mwengine.
Wasafri hao, walishushwa barabarani, bila maelekezo ya ziada na wengi walikuwa wageni wanafunzi wa mwaka wa kwanza , huku wakizurura pasi kujua, wakavuka barabara na kwenda banda la BM ku-ulizia hiyo shuttle lakini walijibiwa kwa kejeli na kuambiwa kama wanataka wamtafute aliyewakatia tiketi.
Abiria walisubiri mpaka saa tano usiku ndio SPECIAL HIRE ikaja, kumbuka wameubiri karibu saa nzima, ilipokuja na abiria kufika shekilango, bado lile basi lenye mabegi likachelewa kwa karibu nusu saa nzima , lilienda Mbezi Luis, maana yake abiria kafika Dar saa nne anachukua begi saa sita usiku, hii si sawa, kama hawana utaratibu maalum basi wawafikishe mbezi Luis na kuwa dump huko.
NB: Watu wanakimbilia BM na Esther kwakuwa kuna shuttle, lakini kwa hii tabia, anguko linakuja
SawaAbiria wana mabegi na mizigo mingine na imebaki kwenye buti ya basi na limekwenda mbezi kwanza, unataka afanyeje?
Wakati anakata tiketi kaambiwa anashushwa shekilango na ndugu wamekuja kumsubiri shekilango.
Acha chuki.
Sasa kama palikuwa na ajali nini kimekufanya uanze na kulalamika kwamba mmechelewa Moshi?Umechagua angle moja tu, wala kuchelewa haijal;alamikiwa maana pale kwa mrefu kulikuwa na ajali ya lori , ilisababisha uchelewaji, hoja ya kuanzia kibo Complex hujaona?
Wewe ni agent wa basi, najua utatetea huu ujinga.
Huyu wa mkoani, kaja Dar mara moja hawezi kujua yote hayo 😹Latra wana kazi nyingi na muhimu kuliko hili. Usiwasumbue bro.
je kama Special hire ilikwama kwenye foleni?.. au barabaran kulikuwa na ajali?.
Utaratibu wa mabus kushusha watu wote Magufuli ni serikal ndio inausimamia.
Pale magufuli gar ikitoka ikiwa na abiria wanapigwa faini.
So usiwalaumu BM.
Walaumu Serikali na hao Latra.
Njia ya Mbezi - Kimara - Ubungo.
pale kimara mwisho kuna ujenzi. Barabara ni 2. Wakat zikitoka huku mbezi zinakuwa 3.
Folen toka Mbezi - Ubungo. Kukaa lisaa limoja barabaran ni kawaida kabisa. Normal
Not only agent, me ni dereva wa Bus. Usituharibie biashara kwa upuuzi mdogo kama huu ulio wasilisha hapaWewe ni agent wa basi, najua utatetea huu ujinga
Mdau hii ni nyepesi sana.Abiria waliosafiri na BM Coach Kutoka Arusha siku ya Jumapili 25-10-2026 , namba tajwa hapo juu, ilitoka saa nne kamili na kufika moshi Saa sita kasoro, japo ilipaswa kufika saa tano na nusu kama tiketi za Moshi zinavyo onyesha kwenye kituo chao jirani na TRA Moshi.
Abiria wa Dar es salaam walifika Tegeta kibo Complex majira ya sa nne kamili usiku na utingo ambaye ni binti mdogo mweusi asiye na uzoefu japo ana roho nzuri, aliwatangazia abiria wanaoshukia Shekilango kuteremka hapo Kibo Complex na kusbiri usafiri mwengine.
Wasafri hao, walishushwa barabarani, bila maelekezo ya ziada na wengi walikuwa wageni wanafunzi wa mwaka wa kwanza , huku wakizurura pasi kujua, wakavuka barabara na kwenda banda la BM ku-ulizia hiyo shuttle lakini walijibiwa kwa kejeli na kuambiwa kama wanataka wamtafute aliyewakatia tiketi.
Abiria walisubiri mpaka saa tano usiku ndio SPECIAL HIRE ikaja, kumbuka wameubiri karibu saa nzima, ilipokuja na abiria kufika shekilango, bado lile basi lenye mabegi likachelewa kwa karibu nusu saa nzima , lilienda Mbezi Luis, maana yake abiria kafika Dar saa nne anachukua begi saa sita usiku, hii si sawa, kama hawana utaratibu maalum basi wawafikishe mbezi Luis na kuwa dump huko.
NB: Watu wanakimbilia BM na Esther kwakuwa kuna shuttle, lakini kwa hii tabia, anguko linakuja
Sahihi, mdau ni mlalamikaji mzuri.Mkuu 😹
Inaonekana unapenda kulalamika.. sasa hapa mbona mmechelewa kwa robo saa tu? Sio inshu kabisa maana kuna muda pale mataa ya Mianzini kuna vifoleni mshenzi.. kuna wanaopandia njiani nk
Pole bana.
Naunga mkono hoja yako.Una options mbili, shuka Kibo complex then tafuta usafiri uende nyumbani au nenda mpaka Magufuli terminal then tafuta usafiri kwenda unakoenda.
Mengine ni malalamiko yasiyo na mashiko.
Sahihi kabisa.Not only agent, me ni dereva wa Bus. Usituharibia biashara kwa upuuzi mdogo kama huu ulio wasilisha hapa
LATRA wanajua sheria zao, wao ndio refarii wa mabasi na usafiri, unataka mimi ndio niwafundishe kazi?LATRA Ichukue hatua kali ipi ndugu muandishi 😃
Sheria ni kushusha Magufuli Terminal, kupelekwa Shekilango ni favours tu. Nimetoka moshi last week, tunafika Kibo watu wanakuwa wakali eti watafutiwe usafiri kwenda Gombz, Mbagala na Chanika.LATRA wanajua sheria zao, wao ndio refarii wa mabasi na usafiri, unataka mimi ndio niwafundishe kazi?