uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Nipe lift kwanza, hayo mengine niachie mimi.Kiruuuuuu
Umetafuta mwaka mzima unataka urudi nyumbani bila pesa 😹
Nipe lift kwanza, hayo mengine niachie mimi.Kiruuuuuu
Umetafuta mwaka mzima unataka urudi nyumbani bila pesa 😹
Hivi treni badogo ipo mkuu?Wabongo nasi twapenda miseleleko.. imeshajulikana bus linakumwaga wapi na linaishia wapi.. kwanini usijiweke mkao mpaka usubiri shuttle ya bure?
Hayo masaa mliyosubiri mngekuwa mmeshafika muendako regards ya foleni za Dar.
Next time panda tren, utashukia posta ushike uelekeo wako
Lipo mwaya.. maana likipita kama uko around mitaa ya Njiro Relini lazima uisikie honiHivi treni badogo ipo mkuu?
Hujambo Dereva wa basiNot only agent, me ni dereva wa Bus. Usituharibie biashara kwa upuuzi mdogo kama huu ulio wasilisha hapa
Yeah mi nikusafiri jnne, asee ukisafiri na treni unainjoi balaa, Yani unafaidi sana kikubwa uwe na pesa nyingi, alafu muwe kikundi cha watu kadhaa au mtu na mpenzi wakoLipo mwaya.. maana likipita kama uko around mitaa ya Njiro Relini lazima uisikie honi
J4 na alhamis nadhani.. TRC wako hapo Samunge.