Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
- Thread starter
-
- #21
Narudia kwa mara ya tatu, Abiria walishushwa, wakaambiwa wasubiri shuttle huku mabegi yai yakiondoka na basi kuelekea Mbezi then shekilango, hivyo hata kama una usafiri wako priovate, lazma uende shekilango kufuata mabegi.Sheria ni kushusha Magufuli Terminal, kupelekwa Shekilango ni favours tu. Nimetoka moshi last week, tunafika Kibo watu wanakuwa wakali eti watafutiwe usafiri kwenda Gombz, Mbagala na Chanika.
Sema Esther, BM na Ratco wana Shuttle za kusaidia wateja wao, ila sio lazima, ni kuvutia biashara tu.
Wabongo ni kama vi last born. Sasa unasafiri na public bus halafu unataka utafutiwe usafiri wa kukufikisha kwako Chanika au Kimbiji! Watu wanasafiri na ndege na wakifika airport watajijua wenyewe hata kama wanaenda Bagamoyo.Nimetoka moshi last week, tunafika Kibo watu wanakuwa wakali eti watafutiwe usafiri kwenda Gombz, Mbagala na Chanika
Wewe ni mtu sahihi kabisa:Not only agent, me ni dereva wa Bus. Usituharibia biashara kwa upuuzi mdogo kama huu ulio wasilisha hapa
Mkuu,Narudia kwa mara ya tatu, Abiria walishushwa, wakaambiwa wasubiri shuttle huku mabegi yai yakiondoka na basi kuelekea Mbezi then shekilango, hivyo hata kama una usafiri wako priovate, lazma uende shekilango kufuata mabegi.
Nimesema customer care mbovu kwakuwa kondakta hakutangaza awali, alisubiri gari ipo wrong parking pale kibo complex anawaambia watu washiuke haraka na mabegi watayakuta shekilango, mkuu mbona mgumu sana kuelewa au mtoto wa uzeeni nini?
Nadhani tatizo ni kwamba ukikata tiketi wanakupa option ya shekilango why utoe ahadi alafu usitimize?Latra wana kazi nyingi na muhimu kuliko hili. Usiwasumbue bro.
je kama Special hire ilikwama kwenye foleni?.. au barabaran kulikuwa na ajali?.
Utaratibu wa mabus kushusha watu wote Magufuli ni serikal ndio inausimamia.
Pale magufuli gar ikitoka ikiwa na abiria wanapigwa faini.
So usiwalaumu BM.
Walaumu Serikali na hao Latra.
Njia ya Mbezi - Kimara - Ubungo.
pale kimara mwisho kuna ujenzi. Barabara ni 2. Wakat zikitoka huku mbezi zinakuwa 3.
Folen toka Mbezi - Ubungo. Kukaa lisaa limoja barabaran ni kawaida kabisa. Normal
Abiria waliosafiri na BM Coach Kutoka Arusha siku ya Jumapili 25-10-2026 , namba tajwa hapo juu, ilitoka saa nne kamili na kufika moshi Saa sita kasoro, japo ilipaswa kufika saa tano na nusu kama tiketi za Moshi zinavyo onyesha kwenye kituo chao jirani na TRA Moshi.
Abiria wa Dar es salaam walifika Tegeta kibo Complex majira ya sa nne kamili usiku na utingo ambaye ni binti mdogo mweusi asiye na uzoefu japo ana roho nzuri, aliwatangazia abiria wanaoshukia Shekilango kuteremka hapo Kibo Complex na kusbiri usafiri mwengine.
Wasafri hao, walishushwa barabarani, bila maelekezo ya ziada na wengi walikuwa wageni wanafunzi wa mwaka wa kwanza , huku wakizurura pasi kujua, wakavuka barabara na kwenda banda la BM ku-ulizia hiyo shuttle lakini walijibiwa kwa kejeli na kuambiwa kama wanataka wamtafute aliyewakatia tiketi.
Abiria walisubiri mpaka saa tano usiku ndio SPECIAL HIRE ikaja, kumbuka wameubiri karibu saa nzima, ilipokuja na abiria kufika shekilango, bado lile basi lenye mabegi likachelewa kwa karibu nusu saa nzima , lilienda Mbezi Luis, maana yake abiria kafika Dar saa nne anachukua begi saa sita usiku, hii si sawa, kama hawana utaratibu maalum basi wawafikishe mbezi Luis na kuwa dump huko.
NB: Watu wanakimbilia BM na Esther kwakuwa kuna shuttle, lakini kwa hii tabia, anguko linakuja
Well spoken, msaada usiwe wa mateso.Sheria ni kushusha Magufuli Terminal, kupelekwa Shekilango ni favours tu. Nimetoka moshi last week, tunafika Kibo watu wanakuwa wakali eti watafutiwe usafiri kwenda Gombz, Mbagala na Chanika.
Sema Esther, BM na Ratco wana Shuttle za kusaidia wateja wao, ila sio lazima, ni kuvutia biashara tu.
Nadhani tatizo ni kwamba ukikata tiketi wanakupa option ya shekilango why utoe ahadi alafu usitimize?
Kwenye sheria ya ushindani inakataza kupokea pesa kwa ahadi ya kutoa huduma alafu baadae usitoe. Hivyo ukiahidi kutoa huduma ya kumshusha mteja Shekilango akalipia then ukashindwa kuitoa ni kosa.
Tuache kutetea ulaghai, haki za mteja zilindwe
Source Fair Competition Act (2003)
59. Accepting payment without intending or being able to supply as ordered
No person shall accept payment or other consideration for goods or services where, at the time of the
acceptance—
(a) he intends—
(i) not to supply the goods or services; or
(ii) to supply goods or services material different from the goods or services in respect of which
the payment or other consideration is accepted; or
(b) there are reasonable grounds, of which he is aware or ought reasonably to be aware, for believing
that he will not be able to supply the goods or services within the period specified by him or, if no
period is specified, within a reasonable time.
Wabongo ni kama vi last born. Sasa unasafiri na public bus halafu unataka utafutiwe usafiri wa kukufikisha kwako Chanika au Kimbiji! Watu wanasafiri na ndege na wakifika airport watajijua wenyewe hata kama wanaenda Bagamoyo.
KiruuuuuuSahihi kabisa.
Ila naomba lift, sina nauli ya kurudi home December dear Depal...🫠
Itafute mwenyewe upelek kero zakoWewe ni mtu sahihi kabisa:
"Upiuuzi mdogo" unajua muda haurudi nyuma, kwako ni jambo dogo kwakuwa kwanza umefika, pili huna cha kupoteza na tatu umeoata posgho yako lakini abiria mgeni kalala stendi jana .
Then, unajali ajira yako kuliko wateja, hivyo kwa kauli yako, ni bora abiria wajielekeze mabasi mengine yenye kujali abiria.
NOTE: Mwenye namba za Baba Hope, Mzee Makundi aweke hapa ajuzwe kiburi cha madereva wake.
Hapana ameeleza hapaAmelamika kuwa huduma imechelewa
Ndio mbona wao ukichelewa dakika 5 tu wanakuacha? Kwanini unahalalisha uzembe? Watu wanachelewa ndege au boti sababu ya basi kuchelewa hiyo hasara anafidia nani? Tusipende kuzoea shida tufuate haki, mtu akikata tiketi mkasema mnashusha Shekilango basi mfikishe shekilango, kama sheria inataka Magufuli waambie wateja ukweli ili kama.wanaenda mabasi mengine waende.Kuchelewa kwa lisaa 1 au 2 ndio utake Latra waingilie kati?.
Abiria akichelewa basi au ndege hiki kisingizio huwa wanakipokea? Sheria inamlinda mtumiaji huduma so tusitetee uhuni wa mabasi.Barabara zetu za dsm unazijua.
foleni ya pale Kimara unaijua.
Wasafri hao, walishushwa barabarani, bila maelekezo ya ziada na wengi walikuwa wageni wanafunzi wa mwaka wa kwanza , huku wakizurura pasi kujua, wakavuka barabara na kwenda banda la BM ku-ulizia hiyo shuttle lakini walijibiwa kwa kejeli na kuambiwa kama wanataka wamtafute aliyewakatia tiketi."
Hili ni Off Point kabisa.Abiria akichelewa basi au ndege hiki kisingizio huwa wanakipokea? Sheria inamlinda mtumiaji huduma so tusitetee uhuni wa mabasi.
jamani sasa hivi mambo ni mengi humu kwenye vichwa vyetu sie watanganyika! kwa hio msimshukie sana mtoa mada, mwelezeni kwa upendo tu!Sahihi, mdau ni mlalamikaji mzuri.
Wanaambiwa.kama sheria inataka Magufuli waambie wateja ukweli ili kama.wanaenda mabasi mengine waende.