Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeeleza kuwa wajibu wa kutekeleza Katiba ya Klabu ya Simba iliyorekebishwa na kuidhinishwa Februari 18, 2026, sasa uko mikononi mwa klabu hiyo baada ya Serikali kukamilisha hatua ya kuidhinisha na kuikabidhi rasmi.
Katiba hiyo ilipitishwa na Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Simba Novemba 30, 2025, kabla ya kuwasilishwa kwa Msajili wa Vyama na Vilabu vya Michezo kwa ajili ya uchambuzi na kuidhinishwa kwa mujibu wa sheria na kanuni.
BMT imesema Serikali haiwezi kutekeleza maamuzi yaliyomo kwenye Katiba hiyo kwa niaba ya Simba, kwani yalipitishwa na wanachama wenyewe kupitia Mkutano Mkuu.