BMT: Serikali ilikamilisha wajibu, Simba yatakiwa kutekeleza Katiba Mpya

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeeleza kuwa wajibu wa kutekeleza Katiba ya Klabu ya Simba iliyorekebishwa na kuidhinishwa Februari 18, 2026, sasa uko mikononi mwa klabu hiyo baada ya Serikali kukamilisha hatua ya kuidhinisha na kuikabidhi rasmi.

Katiba hiyo ilipitishwa na Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Simba Novemba 30, 2025, kabla ya kuwasilishwa kwa Msajili wa Vyama na Vilabu vya Michezo kwa ajili ya uchambuzi na kuidhinishwa kwa mujibu wa sheria na kanuni.

BMT imesema Serikali haiwezi kutekeleza maamuzi yaliyomo kwenye Katiba hiyo kwa niaba ya Simba, kwani yalipitishwa na wanachama wenyewe kupitia Mkutano Mkuu.




Your browser is not able to display this video.
 
Ile Body ya Simba na Mo walikuwa ni kikwazo hasa.

Katiba mpya Inatambua wawekezaji kuanzia watatu
-mo Out.
  • Magori out.
  • Bodi ya wakurugenzi Out.

Mwenyekiti wa body mpya ni Mangungu.
Mangungu apepewe.
 
Ile Body ya Simba na Mo walikuwa ni kikwazo hasa.

Katiba mpya Inatambua wawekezaji kuanzia watatu
-mo Out.
  • Magori out.
  • Bodi ya wakurugenzi Out.

Mwenyekiti wa body mpya ni Mangungu.
Mangungu apepewe.
tutamlinda MANGUNGU kwa wivu mkubwa sana in Ali Kamwe Voice
 
Nani alaumiwe kwa uzembe.... Mangungu au Mo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…