BMT yaitaka Klabu ya Yanga kufanya Uchaguzi na kusimamiwa na TFF

BMT yaitaka Klabu ya Yanga kufanya Uchaguzi na kusimamiwa na TFF

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Baraza la Michezo nchini(BMT) limeitaka Yanga kufanya uchaguzi na usimamiwe na TFF kwani Kamati ya Uchaguzi ya Yanga haijitoshelezi

Aidha, limeamuru Wanachama wote wasio na kadi kwenda kwenye matawi yao kujisajili ndani ya wiki tatu kuanzia sasa

Vilevile BMT imelitaka Shirikisho la Soka nchini(TFF) kuchagua tarehe ya uchaguzi na itangazwe mwezi huu

Katika uchaguzi huo, nafasi zitakazojazwa ni pamoja na ya Mwenyekiti iliyokuwa ikishikiliwa na Yusuf Manji
 
Jamaa kachomoa bakuli kama kazi.
 
ni wazi mamlaka haimtaki manji,sasa na yeye asilazimushe aondoke tu
 
Back
Top Bottom