BMT yasimamisha Uchaguzi wa TEFA

BMT yasimamisha Uchaguzi wa TEFA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mimi ni Mwanasoka , lakini Tangu niingie kwenye Mchezo huu sijawahi kuona ushirikina na uchawi kama unaofanyika kwenye Uchaguzi wa Chama cha soka cha Temeke.

Hivi ni nani anainjinia Mambo haya?

Hivi uchawi huu unaofanyika utalipwa na nini , kwanini Temeke inatia aibu namna hii wakati haina hata timu moja ya soka Ligi kuu?

Tunaishukuru BMT kwa kusimamisha uchaguzi wa kichawi .

Screenshot_2023-10-19-23-43-12-1.png
 
View attachment 2786830
Pale kuna kiongozi mmoja wa CCM, anayetaka kutumia ngazi ya mpira ili kujipenyeza kwa ajiri ya ubunge 2025!!ndio anayelazimisha huo uchaguzi ili awe kiongozi, na ana watu wa kumbeba kuanzia DRFA, na TFF!!
 
Back
Top Bottom