Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Pole mkuuNoma mno !
Fungu lao bei gani ?
Wapiga kura wamekataaInasemekana Kamtande kashinda uenyekiti
Karia anataka jamaa yake Kamtande ashinde wapiga kura hawatakiWapiga kura wamekataa
Pale kuna kiongozi mmoja wa CCM, anayetaka kutumia ngazi ya mpira ili kujipenyeza kwa ajiri ya ubunge 2025!!ndio anayelazimisha huo uchaguzi ili awe kiongozi, na ana watu wa kumbeba kuanzia DRFA, na TFF!!Mimi ni Mwanasoka , lakini Tangu niingie kwenye Mchezo huu sijawahi kuona ushirikina na uchawi kama unaofanyika kwenye Uchaguzi wa Chama cha soka cha Temeke.
Hivi ni nani anainjinia Mambo haya?
Hivi uchawi huu unaofanyika utalipwa na nini , kwanini Temeke inatia aibu namna hii wakati haina hata timu moja ya soka Ligi kuu?
Tunaishukuru BMT kwa kusimamisha uchaguzi wa kichawi .
View attachment 2786830
Katibu mwenezi huyu KamtandePale kuna kiongozi mmoja wa CCM, anayetaka kutumia ngazi ya mpira ili kujipenyeza kwa ajiri ya ubunge 2025!!ndio anayelazimisha huo uchaguzi ili awe kiongozi, na ana watu wa kumbeba kuanzia DRFA, na TFF!!