misha nyangassa
Member
- Mar 29, 2015
- 95
- 41
BMW 316i/318i/320i/325i/330i Kifupi ni E46....Hio 312i haipo au labda sijawahi kukutana nayo.Hi gyz, i need to know bt this car
Ulaji wa mafuta unategemea na engine. 316i/318i/320i/325i/330i kila moja inakula mafuta kiaina yake.jaman wajuzi wa hizi gari tunaomba kwa anaejua afunguke kuhusu
ulaji wa mafuta
upatikanaji wa vipuli
upora wa gari na je gari ni rafiki kwa mazingira yetu. natanguliza shukurani
Sorry nilikosea ni 316iBMW 316i/318i/320i/325i/330i Kifupi ni E46....Hio 312i haipo au labda sijawahi kukutana nayo.
Gari nzuri ila usinunue iliochoka itakuumiza, spare zipo nyingi ila they aint cheap. Binafsi na supply parts za hio gari.
Ina maana naweza uziwa gari iliyochoka kutoka nje?Ulaji wa mafuta unategemea na engine. 316i/318i/320i/325i/330i kila moja inakula mafuta kiaina yake.
Vipuri vipo vya kutosha, ubora wa gari ni wa hali ya juu, ila hala hala usije ukanunua lililochoka utalichukia kwa gharama za kuliweka sawa.
Vibaya sana! Kuwa makini.Ina maana naweza uziwa gari iliyochoka kutoka nje?
Tuna fanyaje sasa kukwepa hilo?Vibaya sana! Kuwa makini.
mkuuu kipimo cha kuchoka ni kipi? na je ukiagiza kutoka japan utagundua vp kama imechoka?Ulaji wa mafuta unategemea na engine. 316i/318i/320i/325i/330i kila moja inakula mafuta kiaina yake.
Vipuri vipo vya kutosha, ubora wa gari ni wa hali ya juu, ila hala hala usije ukanunua lililochoka utalichukia kwa gharama za kuliweka sawa.
Bahati mbaya ukiagiza from jp kujua imechoka ni mpaka ikufikie. Hizi ni used cars. BMW E46 imeanza kutengenezwa 1998-2005. Unaweza kuona kiwango cha kutumika hapo.mkuuu kipimo cha kuchoka ni kipi? na je ukiagiza kutoka japan utagundua vp kama imechoka?
Ni ngumu sana kukwepa hilo unless unamjua mtu jp akaikague. Vinginevyo bahati nasibu kuna kupata na kukosa.Tuna fanyaje sasa kukwepa hilo?
daaaah kweli hapa ni kubahatisha tuBahati mbaya ukiagiza from jp kujua imechoka ni mpaka ikufikie. Hizi ni used cars. BMW E46 imeanza kutengenezwa 1998-2005. Unaweza kuona kiwango cha kutumika hapo.
Hi gyz, i need to know bt this car
Ni 316i sio 312i
mkuu kama hii inaweza kuwa sh ngap mpaka bongoView attachment 425949
model hizi SA hazina bei kubwa na ni 320i ya 2007