BMW 3 series 312i

BMW 3 series 312i

Joined
Mar 29, 2015
Posts
95
Reaction score
41
Hi gyz, i need to know bt this car
Ni 316i sio 312i
 
Attachments

  • 1477419916885.jpg
    1477419916885.jpg
    31.7 KB · Views: 165
jaman wajuzi wa hizi gari tunaomba kwa anaejua afunguke kuhusu
ulaji wa mafuta
upatikanaji wa vipuli
upora wa gari na je gari ni rafiki kwa mazingira yetu. natanguliza shukurani
 
jaman wajuzi wa hizi gari tunaomba kwa anaejua afunguke kuhusu
ulaji wa mafuta
upatikanaji wa vipuli
upora wa gari na je gari ni rafiki kwa mazingira yetu. natanguliza shukurani
Ulaji wa mafuta unategemea na engine. 316i/318i/320i/325i/330i kila moja inakula mafuta kiaina yake.
Vipuri vipo vya kutosha, ubora wa gari ni wa hali ya juu, ila hala hala usije ukanunua lililochoka utalichukia kwa gharama za kuliweka sawa.
 
BMW 316i/318i/320i/325i/330i Kifupi ni E46....Hio 312i haipo au labda sijawahi kukutana nayo.

Gari nzuri ila usinunue iliochoka itakuumiza, spare zipo nyingi ila they aint cheap. Binafsi na supply parts za hio gari.
Sorry nilikosea ni 316i
 
Ulaji wa mafuta unategemea na engine. 316i/318i/320i/325i/330i kila moja inakula mafuta kiaina yake.
Vipuri vipo vya kutosha, ubora wa gari ni wa hali ya juu, ila hala hala usije ukanunua lililochoka utalichukia kwa gharama za kuliweka sawa.
Ina maana naweza uziwa gari iliyochoka kutoka nje?
 
Ulaji wa mafuta unategemea na engine. 316i/318i/320i/325i/330i kila moja inakula mafuta kiaina yake.
Vipuri vipo vya kutosha, ubora wa gari ni wa hali ya juu, ila hala hala usije ukanunua lililochoka utalichukia kwa gharama za kuliweka sawa.
mkuuu kipimo cha kuchoka ni kipi? na je ukiagiza kutoka japan utagundua vp kama imechoka?
 
mkuuu kipimo cha kuchoka ni kipi? na je ukiagiza kutoka japan utagundua vp kama imechoka?
Bahati mbaya ukiagiza from jp kujua imechoka ni mpaka ikufikie. Hizi ni used cars. BMW E46 imeanza kutengenezwa 1998-2005. Unaweza kuona kiwango cha kutumika hapo.
 
Bahati mbaya ukiagiza from jp kujua imechoka ni mpaka ikufikie. Hizi ni used cars. BMW E46 imeanza kutengenezwa 1998-2005. Unaweza kuona kiwango cha kutumika hapo.
daaaah kweli hapa ni kubahatisha tu
 
Usiagize hiyo gari huwa zinakua na matatizo ya umeme sana kwa model hizo za zamani ukiweza tafuta Bmw ya 2005 mpaka 2007 pia kodi yake haitakua kubwa hiyo ni gari ya zamani model za mwanzo kabisa za Bmw kuna za mbele yake 318i na 320i pia sio mbaya sijajua kwa nini Japan gari ya zamani wanauza bei hizo zinazokaribiana na 320i ntatuma picha ya bmw ambayo unaweza kuitafuta ukiipata haikusumbui unapoagiza gari bila kukagua jaribu kuagiza za miaka ya karibuni labda maroli sio walioanzia kuyatoa kama hayo..
 
Baba jazey, Bmw 320i ina 2.2L 6-cylinder engine na 318i ni 4 -cylinder 2.0Litter..kwa hiyo angalia specification hizo unayoitaka na pia wana 110i,120i hizi ni X series consumption ya mafuta ipo chini maana ni 1100cc na 1200cc Bmw na Mercedes huku ndio nyumbani kwake angalia spec unayoitaka na una kiasi gani nikushauri kwa hiyo pesa unapata ipi mpaka inafika bongo..
 
Nitaungana na Isanga family hapo juu kwa ku-recomend BMW 3 series ya karibu zaidi, atleast mwaka 2006.

Uliyoiweka wewe mtoa mada ni BMW E46 iliacha kutengenezwa 2005 so ikawa replaced na E90 ambayo mkuu Isanga family kaiweka

Base model, 320i itakugharimu kama Tsh Mil 18-22 kutokea Japan hadi tukuone foreni za Ubungo.

Hii gari ndani ni more comfortable than predecessor E46, though nasikia engines zake zina ukorofi flani uki-compare na E46.

Ukinunua Bimma usilie ulaji wa mafuta, so ilo hatuongelei.

Spare zipo kibao kuna dealers kibao wa German toys, ikiwemo Noble Motors Tanzania.

Ila kama kipato sio kizuri sana mkuu usinunue BMW daka mbadala wake wa Kijapan kama Altezza or Subaru.
 
Back
Top Bottom