BMW 3 Series vs Crown Athlete

Insightful comment mkuu hasa kwa mtu ambaye si mzoefu kama mimi, sio ya kwanza tho. Thank you mkuu.
 
Gari za mjeruman zina sifa ya kuwa over engineered kitu kinachopelekea complications kibao! Zimeundwa kwa watu wenye pesa za kuchezea kulipa mafundi na maintanance ya bei ghali!
Hebu nunua kwanza au azima ukae nayo hata wiki ndio uje kuleta haya maneno yako ya kijiweni. Mtu akikusikiliza wewe na akakuamini atapata picha mbaya sana. Ni vizuri sana kitu ukakiongelea kwa experience kuliko kukusanya Stori za vijiweni. Hio hapo VW inaenda mwaka wa nne hakuna taa hata ya brake bulb inayowaka. Na Stori zako eti masika moja chali haya imepita masika tatu na ninakaa uswazi kitu bado kinang'aa. Usiwatie watu woga,mwanaume hakimbii changamoto anapambana nazo. Hio Crown nitaizungumzia siku ingine ila kifupi nikishuka kwenye VW nikiingia kwenye Crown nahitaji siku nzima mpaka nizoee na kuiona ni gari.
 
Hii dharau ya std gauge
 
Mkuu hiyo ni dashboard ya Golf MK5? Kuna mshikaji tulisafiri nayo kuileta Arusha huu mwaka wa 6 hajawahi kuhangaika na chochote zaidi ya routine service tu za kawaida
 
Usema kweli sijapata shida yoyote na gari ya mjerumani wala hizo wanazo ita miti ya christmass.. kama ambavyo watu wanaongea ongea kitaa
Ukiendesha Mjerumani na hujawakiwa na mti christmass basi dogo bado. Subiri.

Niliwakiwa na mzigo kuna siku, nikachanganyikiwa. Hafu kumbe tatizo moja tu, dogo, ila ziliwaka taa zooote.
 
Ukiendesha Mjerumani na hujawakiwa na mti christmass basi dogo bado. Subiri.

Niliwakiwa na mzigo kuna siku, nikachanganyikiwa. Hafu kumbe tatizo moja tu, dogo, ila ziliwaka taa zooote.
Sio lazima wote tu experience aina ya shida mkuu. Sio mgeni kwenye magari nimeanza miliki magari ya biashara kabla ya hivi vya kutembelea tembelea na kunasia mambo yako πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“. Gari matunzo na kuzingatia unayotakiwa kuzingatiwa kwa wakati sio kwamba haziwezi haribika zina haribika ila sio kwamba point ni pasua kichwa hayo ni maneno maneno tu ya kishabili yasio na wowow
 
Ukiendesha Mjerumani na hujawakiwa na mti christmass basi dogo bado. Subiri.

Niliwakiwa na mzigo kuna siku, nikachanganyikiwa. Hafu kumbe tatizo moja tu, dogo, ila ziliwaka taa zooote.
Matatizo kwenye gari madogo kadogo yapo na makubwa makubwa yapo, ila cha msingi ni kuwahi matengezo usilimbikize matatizo kama deni itafikia kipindi hukopesheki na huna uwezo wa kulipa. Njoo kidimbwi kuna mtoto wa kihindi mkali sana ninae nikupe uoshe kirungu nkoi
 
Gari za mjeruman zina sifa ya kuwa over engineered kitu kinachopelekea complications kibao! Zimeundwa kwa watu wenye pesa za kuchezea kulipa mafundi na maintanance ya bei ghali!

Sidhani kama ni over engineered ila kiukweli sisi wabongo hatupendi shida.

Mfano mdogo tu... Angalia watu wanavyozichukia D4 engines.

Engine za D4 zimeshabatizwa kila aina ya majina. Lakini ni engine nzuri kama mtu anaweza kuitunza na kuipa inachotaka. Inakupa more power with low fuel consumption kwa sababu muda mwingi inarun lean.

Sasa gari nyingi za mjerumani zinatumia mfumo ambao ni exact the same na hizo zinazotumia D4.

Ni gari ngapi za Audi au VWumeziona zimeandikwa TFSI/TSI?

Ni benz ngapi umeziona zimeandikwa CGI?

Pia linaanza kwanza gari za hivo hazitaki kidebe.

Unadhani wabongo wangapi watasalimika hapo?
 
Yes 3 series ukipata kuanzia 6 cylinders ni gari za maana.
 
Hahaha sileti Mjerumani wangu beach za ajabu ajabu kama izo.

Weekend inaenda Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…