binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
BMW 3 series za kununua sahivi ni E46 (1998-2005), E90 (2006-2012), na F30 (20013-2020), kuna G20 kama upo vizuri hii ndio latest.
Kwa model ya 2007 ni E90 ndio BMW 3 series maarufu sana Tanzania. Kama unataka chukua ni nzuri, I owned two of them, ya kwanza nikauza, nikachukua tena.
Make sure ni cc 2500 kwenda juu (6 cylinders), pia kama utaweza iwe 2009 kwenda juu (LCI/facelift) ila sio lazima iwe na Sport package.
Gari zuri kwa ufupi, ila kama ndio 1st car sikushauri.
Insightful comment mkuu hasa kwa mtu ambaye si mzoefu kama mimi, sio ya kwanza tho. Thank you mkuu.