BMW 3 Series vs Crown Athlete

BMW 3 Series vs Crown Athlete

Gari zote zikifikia 100,000+ uhai wa vipuli vingi unakuwa umefikia kikomo so vinahitaji replacement sio ulaya wala asia
 
Hii kushindanisha gari kila mtu anaweza akaweka na akaja inategemea imekuata na wanazi upande upo mwingi.. mie na wanazi wenzangu hapa ukija pambanaisha hizo gari BMW itaibuka na kishindo .. mwisho wa siku kila mtu achague anachoo ona bora tusiishe kwa mitazamo ya watu, anae ona BMW ni bora achukue.. Binafsi sio mpenzi sana wa BMW.. ila sio sababu ya kwamba mbovu mbovu.. kuna watu wana BMW number A kama mpya
 
Mimi binafsi napenda BMW tena 7 Series, na kama nimekosa ni 5 series. Tena naweza kusema kuwa ni one of my favorites na nimeplan kuwa nayo moja for weekend drives only, ila mapenzi yangu haynipi upofu nikakataa kuwa Lexus/Toyota ni most reliable cars
 
Sawa mkuu, upo sawa sawa kabisa kila mtu ana namna anavyotazama mambo na machaguzi yake..
 
Ziliharibika siku moja? Inawezekana iliharibika moja ukaiacha ukahamia ingine nayo ikaharibika. Au unalea magonjwa.
moja ilianza kung'ang'ania 4wd, nikabadili actuator mbili. kumbe module ya kuengage diff ya mbele ilikuwa na shida.

ikaja kuacha "kuchoma heater". ilikuwa inaunguza fuse, kwa hiyo nikaachana na mambo ya fuse kwa muda. ikawa kila nikitaka kuwasha asubuhi kwa mfano kwenye baridi, naweka vipisi vya nyaya ili coil zichome. siku fundi analishughulikia akasema kuna short kwa sababu ya nyaya kuliwa na panya.

next, siku moja haikuwaka. kupona kwake ikabadilishwa pump. sasa juzi kati niko barabarani minding my own business, usiku saa 4 ikazimika ghafla. nikiwasha inawaka kwa sekunde mbili inazimika tena. ikabidi ivutwe hadi home, na gari yangu nyingine (Hardbody D21).

kesho yake fundi akaja akabadili components flani flani kwenye ECU, zinazocontrol air/fuel mix. ikawaka, nikazunguka nayo hiyo siku, kesho yake ile natoka tu ikazimika tena. hadi saivi lipo tu tena limefunikwa kuashiria atakuwa bench kwa muda.

huyu mwingine D21 baada ya kumvuta mdogo wake, akamfikisha salama, kesho yake naweka gear nitoke nasikia vyuma tu huko chini ngkrrrr ngkhrrrr... Synchromesh ipo nina uhakika. itakuwa clutch imemaliza muda wake. naye yupo tu.

hatimaye, yule nusu. hii ni habari nyingine. carburetor na ignition kati ya magonjwa mengine. inatembea lakini haishindwi kuniaibisha mbele ya kadamnasi.

kwa hiyo inawezekana ni kulea magonjwa, au basi tu saa ingine mambo yanatokea.
 
Gari mbili na nusu zote ziko hoi kwa pamoja?
Zina matatizo gani kama hutojali mkuu..

Pole sana.
 
Hatuzungumzii wapi na wapi mkuu! Tunaongelea Class, both are mid size sedans ukileta ushabiki huwezi elewa utaniona nazingua!

Mzee nimeikumbuka sana hii comment yako... 🤣🤣🤣 akili imegoma kuamini...

Ukizungumzia Premio na 3 series utaziweka kwenye class moja hii hapana kabisa....

Wenzetu wazungu wamecategorize magari ya abiria kwenye categories 9 (Euro car segments).

Kama ifuatavyo.

A-Segment

Hii ni category ya kwanza ya European Segments for Passegers Cars. Hapa unazikuta Mini Cars kama Suzuki Alto, Toyota Aygo, Hyundai i1, Suzuki Ignis n.k.

B-Segment

Hii ni category ya pili ya European Segments for Passegers Cars. Hapa unazikuta Subcompact Cars kama Toyota Yaris, VW Polo, Ford Fiesta, Audi A1, Suzuki Swift, Nissan Note n.k.

C-Segment

Hii ni Category ya tatu ya European Segments for Passegers Cars. Hapa unazikuta medium cars kama VW golf, Mercedes A class, Toyota corolla, BMW 1 series, Audi A3, n.k.

D-Segment

Hii ni Category ya nne ya European Segments for Passegers Cars. Hapa unazikuta Compact exective cars au Compact Luxury Cars kama BMW 3 series, Audi A4/A5, Mercedes Benz C class, Tesla Model 3, VW Passat, Toyota Camry, Subaru Legancy, Lexus IS, Toyota Avensis, Honda Accord n.k.

E- Segment

Hii ni Category ya tano ya European Segments for Passegers Cars. Hapa unazikuta Executive cars kama Mercedes Benz E class, BMW 5 Series, Audi A6/A7, Lexus GS n.k.

F-Segment

Hii ni Category ya sita ya European Segments for Passegers Cars. Hapa unazikuta Luxury Cars kama BMW 7 series, Mercedes Benz S class, Audi A8, Rolls Royce Phantom n.k.

Tuishie hapo ila madaraja yameendelea kama J Segment kwa ajili ya SUV's, M segment kwa ajili ya MUV's including Pick ups na S segment kwa ajili ya Sport Cars.

Haya 3 series na Premio haziwezi kuwa Class moja...

Nimeendesha Toyota mojawapo ambayo ipo Class moja na BMW 3 series ambayo ni Toyota Avensis, Gari imetulia sana ukiwa nayo barabarani.... At least kuweka class moja na 3 series inamake sense.
 
kwa hiyo Premio iko Segment C kwa haraka haraka, pamoja na Corolla..

Back
Top Bottom