BMW 3 Series vs Crown Athlete

BMW 3 Series vs Crown Athlete

Meja M

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
628
Reaction score
560
Habarini za wakati huu wakuu.. Poleni na Hongereni kwa majukumu mnayotekeleza.

Kama hapo topic inavyoejieleza ni gari ipi nzuri na imara ya kumshauri mtu kununua kati ya BMW 3 SERIES na CROWN ATHLETE.

ASANTENI
 
Mkuu hiyo topic tulishawahi ongelea humu ndani. Kuna mkuu Bavaria RRONDO Extrovert waliiongelea.

Hapo budget yako tu. Kama zote bei sawa, sass tuangalie running cost.

BMW running cost yake ipo juu. Utauziwa spare ghali (ata kama bei yake halisi sio hiyo), reliability yake nzuri ila inahitaji uwe mtu wa preventive maintenance sio wazee wa kusubiri taa ziwake.

Toyota Crown nzuri kwenye running cost na comfortability. BMW ni sports.
 
Back
Top Bottom