BMW 320i 2006 Black milioni 5

BMW 320i 2006 Black milioni 5

Ingekuwa vizuri kama ungeweka P code aka diagnostic trouble code za OBD2
Kuna jamaa wa humuhumu janvini kaja na fundi wamecheki na diagnosis machine, inadetect some sensors, na motor ya juu ya engine. Kwa mujibu wa fundi; Moto kutoka kwenye control box haufiki kwenye motor sasa pale kuna wire kibao ndo fundi wangu kahangaika hapo wiki ya tatu sasa, kuna jamaa wa Noble motors kaja anasema anaweza kufuatilia hizo nyaya na akatatua tatizo ila lazima nimpe muda wa kutosha (which i don't seem have that patience) So atakaekuwa tayari kupambana nayo namkaribisha.
 
Kwa hio gari ilivyonyooka Kuna uwezekajo hata fundi hajapita hapo, Kuna watu hawapendi kero ati na bei ni ya kutupa
Fundi kapita, ila ni gari yenye fundi mmoja, sijataka kujaribu kila mtu maana utaishia kukuza tatizo.

>>Kuna jamaa wa humuhumu janvini kaja na fundi wamecheki na diagnosis machine, inadetect some sensors, na motor ya juu ya engine. Kwa mujibu wa fundi; Moto kutoka kwenye control box haufiki kwenye motor sasa pale kuna wire kibao ndo fundi wangu kahangaika hapo wiki ya tatu sasa, kuna jamaa wa Noble motors kaja anasema anaweza kufuatilia hizo nyaya na akatatua tatizo ila lazima nimpe muda wa kutosha (which i don't seem have that patience) So atakaekuwa tayari kupambana nayo namkaribisha.
 
Kuna jamaa wa humuhumu janvini kaja na fundi wamecheki na diagnosis machine, inadetect some sensors, na motor ya juu ya engine. Kwa mujibu wa fundi; Moto kutoka kwenye control box haufiki kwenye motor sasa pale kuna wire kibao ndo fundi wangu kahangaika hapo wiki ya tatu sasa, kuna jamaa wa Noble motors kaja anasema anaweza kufuatilia hizo nyaya na akatatua tatizo ila lazima nimpe muda wa kutosha (which i don't seem have that patience) So atakaekuwa tayari kupambana nayo namkaribisha.

Safi sana mkuu, umeeleweka vizuri sana bila longolongo yoyote.
 
Ubaya wa German cars zipo over-enginered kila siku matatizo ambayo hata mafundi wa German cars wenyewe hawana uhakika nayo. Wakipata uhakika Bei ya kufix nayo changamoto na hii sio bongo tu hata huku nje.
 
Unaweza kuta senso 5M tena ya kuagiza ng'ambo
Ndio maanake, mjini akili nguvu shamba! Kuna kitu hakiko sawa mahala flani. Jamaa yangu ana Audi A6 ni 3.2L V6 anataka kuuza 8M ila ina matengenezo ya 4M nikamwambia bro sitaki kukukatisha tamaa ila kama kuna mtu atachukua hilo gari basi jua atakuwa alishamiliki Audi before so ananunua kwa mapenzi
 
Kuna kipindi nipo Dom kuna gari ilikuwa inauzwa bei chee ila kifaa kilichoharibika ni kidoogo cha Umeme gharama zake ni mamilioni ya hela, ukikurupuka unanunua kufugia kuku home kwako
 
Ndio maanake, mjini akili nguvu shamba! Kuna kitu hakiko sawa mahala flani. Jamaa yangu ana Audi A6 ni 3.2L V6 anataka kuuza 8M ila ina matengenezo ya 4M nikamwambia bro sitaki kukukatisha tamaa ila kama kuna mtu atachukua hilo gari basi jua atakuwa alishamiliki Audi before so ananunua kwa mapenzi
Gari zinatesa sana, hasa ukipigwa. Nimenunua gari kama miezi mitatu, nilimuamini dereva wangu nikamtuma akafatilia kila kitu.. akaisifia sana nakuipamba, tokea imefika eneo la tukio kila siku inanipiga kidole. hadi najuta.. naiset sasa hivi niipige bei..
 
Unaweza kuta sensor 5M tena ya kuagiza ng'ambo
Iko hivi mkuu, BMW 320 hasa E90 ni moja kati ya Bmw cheap sana kwa uendeshaji. Hakuna spea moja inayofika 2M Ukiacha gearbox na engine. Hii gari ni nzima engine na gearbox, Ni nzima control box, AC iko sawa na accessories zote. Tatizo ni hilo tu la wiring, Naiuza kwa kuwa inahitaji muda mrefu kufanya tracing ya wire kujua tatizo nami nna gari ya kukomboa bandarini, so nauza kwa pressure, hata matengenezo nmefanya kwa pressure ndo maana haitengamai (na hizi gari zinahitaji dedication ya muda), na pia sipendi gari ikae muda mrefu kwa fundi.
 
Acha wizi mkuu hiyo gar m5 tu duh kuna watu wanasakwa hapa
Ni sawa tu kuiuza hiyo bei kwani mpya we uandhani shingi ngapi tatizo mkiona BMW basi mnahisibei ghali sana hiyo huenda hajazidiana na crown athlete ana, tatizolake umeme hapo ndo shida si ajabu matengenezo yake yakawa sawa na bei ya gari au ukakosa fundi maana mafundi wa bono makanjanja.
Hiyo gari ni namba C na bei yake haifiki milion 20 ukiaiza Japan.
 
Oxygen sensor.
Inadeal na engine timing, combustion intervals, and the air to fuel ratio.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hii kitu iliharibika kwenye gari nikiwa huko mkoani, mafundi walikuwa kazi yao kusafisha plug hawajui nini shida. Gari ilikuwa na miss inakula wese kinoma, wakati wa kwenda nilitumia amfuta kama ya lak 2 unusu wakati wa kurudi ilikuwa mafta zaidi ya lak nne mpaka nafika dar kuna muda ilikuwa inasumbua ila ikichanganya inatembea kama kawaida ila inakula wese kinoma.
 
Back
Top Bottom