BMW nao wamezindua 2nd generation iX3: ni SUV ya umeme kwenye platform mpya!

BMW nao wamezindua 2nd generation iX3: ni SUV ya umeme kwenye platform mpya!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kwenye manesho ya IAA Mobility yanayoendelea huko Munich Ujerumani, wababe wa performance BMW nao wamezindua gari jipya ndani ya platform mpya.
IMG_4824.jpeg

BMW iX3 ni SUV mpya ya umeme, juu ya platform mpya ya Neue Klasse. Sasa jina lisikuchanganye na iX3 ya zamani iliokua inashare platform na X3 ya engine, iliokua na code G08 ya mwaka 2020 (hii hapa chini pichani)!
IMG_4817.jpeg

BMW iX3 ina trims nyingi, ila tutakayoiongelea sana ni top trim ya iX3 50 xDrive ambayo inakuja na battery la 108 kWh, litakalo kufikisha kilometa 805 kwa full charge, ikiwa na energy efficiency ya 6.6 km/kWh.
IMG_4823.jpeg

Pia, ina uwezo wa kuchaji 10% to 80% kwa dakika 21 au sawa na kuongeza kilometa 372 km kwa dakika 10 tu.
IMG_4822.jpeg

iX3 50 xDrive ina motor mbili, AWD, 463 hp, 0-100 kph kwa sek 4.9.

IMG_4821.jpeg

BMW iX3 ndio BMW ya kwanza kua na Panoramic iDrive system, ikirun iDrive X (tuseme kama iDrive X ni OS mpya ya BMW).
IMG_4820.jpeg

Inakuja na "Panoramic Vision display" ambayo ni nyembamba kama ribbon hivi inayokaa pale mbele kwenye kioo, ikiwa na inch 43.3, pia ina 3D HUD, na katikati kuna 17.9 inch display ipo katikati.
IMG_4816.jpeg
 
Huku China wapo mbele Miaka 10 Kwenye Car design. Majuzi Jamaa Amekuja nichukuwa toka stesheni ya Treni, Hii gari ni made in China! Viti vinakufanyia meseji😄Dash board ni screen, pure Umeme.Kushoto ya kiti kuna Hii screen unajiudumia mwenywe
Kuna Huu unyama toka Xiomi https://www.mi.com/global/discover/article?id=3263
 
Attachments

  • IMG_1497.jpeg
    IMG_1497.jpeg
    337.9 KB · Views: 36
  • IMG_1496.jpeg
    IMG_1496.jpeg
    412 KB · Views: 35
Huku China wapo mbele Miaka 10 Kwenye Car design. Majuzi Jamaa Amekuja nichukuwa toka stesheni ya Treni, Hii gari ni made in China! Viti vinakufanyia meseji😄Dash board ni screen, pure Umeme.Kushoto ya kiti kuna Hii screen unajiudumia mwenywe
Kuna Huu unyama toka Xiomi https://www.mi.com/global/discover/article?id=3263
Hawa jamaa Wana balaa Sana....Huko Australia wamefanikiwa kuingia kwenye top 10 yaliyonunuliwa Kwa wingi , wachina wao wapo kwenye bei kitonga tu
 
Kwenye mapinduzi ya tech brands kubwa zinabaki na wale wateja lialia(loyal customers) na majina yao makubwa, ila kwenye ubunifu wako nyuma.

Ndio maana wengi wanakuja na features ambazo nchi kama China washazifanya kwenye magari yao, au Apple anavyokuja na features ambazo kwenye Android zishafanyika tayari.
 
Wanawakimbiza Ile mbaya! Soon Trump ataomba poo.China wapo mbele kwa Vitu vingi sana
Mchina anauza kwasababu ya bei kitonga ila kwenye Tech bado nyuma sana.
1. Mpaka sasa Mchina hana Operating system ya simu au computer
2. Kwenye magari, design anaiba kwa makampuni ya wazungu.
A. Ni subwoofer au Sound bar gani ya kichina inayozidi muziki wa JBL, Sony, LG au Samsung?
B. Ni TV gani ya kichina inaonyeesha vizuri kuliko Sony, LG na Samsung? Cha kushangaza software zote za tv za kichina ni copy na paste za wazungu.
Kwanini wachina hawakuwa wa kwanza kutengeneza AI? Ndiyo ujue mchina anauza bei kitonga ila ni quantity na siyo Quality
 
Ujui usemalo!!🤣🤣
1.

China Bans Intel, AMD Chips, Windows OS | Silicon UK

China's primary operating systems include HarmonyOS for mobile devices and computers, the desktop-focused openKylin (and its precursor Kylin) used by the government, and UOS (Unity Operating System

2. China wana patents zaidi ya 200 za technology za magari wanazowauzia mpaka Japan,Ujerumani na USA.
3. Hisense Ana mpinzani
Wangekuwa copy and paste wangekuwa na kesi nyingi ulaya
 
Back
Top Bottom