Mucho Mucho
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 245
- 256
Mwenye uzoefu naomba kufaham kuhusu hiyo gari..perfomance, matunzo,changamoto pia,karibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah..ila bara bara zetu zinazidi kuimarika kwa matumizi ya mjini.Kwa muonekano tu huwa naiona kama iko chini sana...
Kuanzia 2006Ungesema unataka ya mwaka gani(YOM) wadau wangekusaidia.