Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Engine yake nimepata SA rand laki mbili kama 30m Tsh gari imekaa ina miezi home...na hii ni used mpya wanataka 64m Tsh..Ukibamiza hata LC200 tu kama hela ya mawazo itakaa garage miezi japo ni gari ya kijapani.